duuuu aaaaah kama ningebet kila kitu destroyed maaana huu mpira majanga now daz duuuu aueleweki unakoelekea nani atakua binhwa unpredictable aisee wanao bet muavhe itakula kwenu maana wanaotegemewa watolewa mapema kaz kweli kweli bado brazirl ha ha ha
Halafu ninyi watu humu ndani acheni unafiki wenu yaani leo mnasema kwawasio jua mziki ndio watamkubali diamond hivyo mnajielewa kweli ninyi acheni unafiki wenu huo na upumbavu usiokua na maana ninyi wa tz ata maana amna aisee na angepita ungesema hajui mziki ama kama sio ridicorous huo unafiki tu.
Yaani jamani hivyo hata president wetu jakaya kikwete hasikii hayo mambo ya madawa ya kulevya na kama anasikia hajisikii aibu kwa nchi jirani kama kenya na kama china ambapo nikama ndugu na nimala ya ngapi yaani sisi hii nchi haina hata unafuu masikini wa mungu ukiangali mambo yakatiba ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.