Nimeamini Watanganyika ni Vichwa maji kweli kweli. Unamtetea Mwigulu Nchemba na kumkandia Dr. Slaa? Sawa, Dr. alisema nchi haitatawalika. lakini je! Mwangosi ni Dr. alimtenda vile? Mauaji ya Mwaka juzi Arusha, ni Dr. Slaa? Waliotekwa, kuteswa, kung'olewa kucha, macho na meno, ni Dr. Slaa? Dr...