Recent content by Kinara

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Anachosema huyo Rmrnobody yuko sahihi ...nadhn alikuwa hajui tu kama magereza wameanza kutoka huduma za afya zenye hadhi ya hospital. Kwasbb ameelewesha tyr kuwa MT nao wameanza kutoa huduma hiyo. Kuhusu degree kuchukua wengi au wachache jibu siku zote lzima wawe wachache sehem yoyote au kweny...
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2010 Dr.slaa na chadema twendeni mahakamani ushahidi upo tele!!!!

    jamani from my understanding, Rais akisha apishwa haiwezekani kumfungulia kesi mahakamani, na pia haiwezekani kufungua kesi kama hauna uhakika na matokeo hadi watakapo mwapisha, na akiapwishwa haiwezekani kutenguliwa. mimi nadhani tuifuate haki yetu mtaani maana penye sheria hatuwezi kufika...
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2010 mmmmmmm hapo kuna kitu

    Jamani, sijasikia lolote wala kuwaona viongozi wetu wakubwa kama B. Mkapa, A. H. Mwinyi,spika, na wengine wengi katika kampeni za kumnadi mgombea urais CCM. kuna mtu anajua lolote mtu amelisikia?
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    willibrod slaa
Back
Top Bottom