kaa chonjo kwakua huna ujualo mpira uwanjani mshindi dakika 90, subili tuone lowssa atasimamia wapi na kwa tiketi ipi kuingia ikulu msiwe mnaongelea watu kabla wenyewe hawajaongea.
ndio naamini hata mm kua ACT inakuja kua chama kikuu cha upinzani kwani kalibuni watu walioko kwenye chama niwatu wenye uwezo wa kujenga hoja binafsi na zenye mashiko hivyo 2ko tayara kuwaunga mkono kwa kishindo kikubwa.
sita kwakua ni nikibaraka wa ccm anadiriki kupindua mawazo ya wananchi hakika huyu hatufai niaheri kama angekua mh. pandu amiri kificho angefanya mabadiliko yakweri kwakutupatia katiba mpya ya wananchi kwan uwezo wake tumeuona wakati akiwa mwenyekiti wa muda BMK hakika angeendelea mh. huyu...
binafc naelewa kabisa kaz ambazo mh. MKAPA amepiga ktk uongoz wake hivyo hana upumbavu wakupoteza muda wake kwa mambo ambayo hayajengi nchi. aher hil jembe lingeludi madalakan hakika linatustahili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.