Hivi ndivyo chama kinavyopaswa kutenda. Lazima watu waheshimiane na kufuata taratibu za chama ili kufikia malengo. Kuoneana haya na kuogopana ndiko kulikoifikisha ccm ilipo leo. ccm igeni mfano huo mkiwachekea watu kwaajili ya umaarufu wao na fedha mtapotea 2015. viongozi hawawezi kuishi kama...
Angalau anaonyesha rais yupo maanake kila mtu alikuwa anajifanyia anachotaka utadhani nchi haina mwenyewe. Endelea zaidi ya hapo labda miaka miwili iliyobaki unaweza kufanya la kukumbukwa na watanzania. Usiwasahau na mawaziri vilaza
It is good to see other people write about our country but we (Tanzanians) need to write about our own history, culture and geography. I think we know much better about ourselves than this Kenyan professor thus we can produce something very reliable, trustworthy and detailed. We must work up and...
Hili ni jambo jema sana na litakalowatia nguvu wanachama na mashabiki wa cdm. Ni lazima kushikamana mpaka dakika ya mwisho. Wanachama na wapenzi wa cdm wapo tayari kuchangia. Vilevile kuna haja ya kutafuta mawakili zaidi ili kupambana na hili wimbi la kesi za kubambikiwa. Wakati huo huo...
kwani kila kiongozi wa kiroho anaongea ukweli ! unakumbuka yule aliyesema umeme hautapita juu ya kanisa lake! Nadhani kwa kumuongelea dr slaa angalau na sisi tumejua jina la kanisa lake na lake. Ukitaka kujulikana haraka Tanzania kwa sasa muongelee dr slaa
ccm wamekabidhi chama chao kwa jeshi la polisi wawasaidie kukiendesha wenyewe wameshindwa kwa hoja na wapinzani. Hivyo tambueni kwa sasa chagonja ni katibu mwenezi wa ccm, manumba katibu mkuu wa ccm na mwema ni mwenyekiti. Nape, mangula na kikwete wapo mapumzikoni na tena wana allergy na...
CCM wamekikabidhi chama chao kwa jeshi la polisi wawasaidie kukiendesha maana wenyewe wameshindwa.Na kwa kua polisi wetu uelewa wao ni mdogo na hawawezi kujenga hoja ndio wanazidi kukizamisha chama walichokabidhiwa wakiendeshe wenye chama chao wamepoteana. Mwenyekiti na katibu wala hawajulikani...
Yaani kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo pinda anavyozidi kuwa mjinga na kushindwa kusawazisha mambo na kuwasimamia mawaziri walio chini yake. Sasa kama hii ndio akili ya waziri mkuu mawaziri wengine wakoje. Hatuna viongozi nchi hii zaidi ya kuwa na watawala. Tushukuru wamebakiza muda mfupi...
Dalili zote za kushindwa ziko wazi. Eeeh ccm fanya fujo zako za mwisho mwisho kwani mwisho wako umeshafika. Na sijui nani atabaki ccm baada ya kutolewa madarakani 2015 kwani wengi wenu ni waganga njaa na watu wanaotafuta ulaji tu. Nani atakubali kukiongoza chama ambacho hakieleweki malengo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.