Recent content by kinabondetefuo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mh Mbunge Ahmed Shabiby ni mkwepa kodi!

    watu wa aina hiyo nackia wakipatikana nchini china wanafilicwa na mwshwe ni kunyongwa. Nasema CHINA.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Mgao umeanza tena kimyakimya?

    si moshi mjini tu, ni maeneo mengi ktk mkoa wa k'njaro. umeme unakatwa kwa masaa 24 unarudi kwa sekunde 3 unakatwa tena masaa 20, tena bila taarifa, hii ni kero kwa wateja
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Pamoja na utoto wake, kijana alifanya kosa kubwa kukojolea msahafu!

    wala mcshupalie michezo ya watoto, haya mambo yalipangwa na wa2 wanaodhani wana akili kumbe ni mazuzu.
Back
Top Bottom