Recent content by Kimwagacampus729

  1. Kimwagacampus729

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hassan Omar: Hata waliokufa watakuwa na alama za vidole na watapiga kura

    Huo Ndo Ukweli Kasema . Maana Kwenye Siasa Hawachelewi. Kumuwajibisha Hata Marehemu. Japo Kashayapumzika Majukumu ya Kidunia. Hiyo Ndo Siasa Maji taka. Ila Tunayo Mengi Ya Kujibu
  2. Kimwagacampus729

    JamiiForums Tanzania Rais wa MAT: Magari matano ya kuyapisha Barabarani.

    Al-hamdulillah 🤲. Ila Pia Na Nyinyi Madaktar Muwe Na Utu Pale Mgonjwa Anapofikshwa Hospital Akiwa Mahututi Apate Huduma Kwa Wakati. Kuliko Zile Pigo Zenu za Kupitia Madirishan Ilihali Unaiacha Nafsi Ya Mtu Ikielea Hewani Kisa Sijafungua file,sijalipia Dawa. Haya Yawe Ya Ziada Baada Ya Msaada...
  3. Kimwagacampus729

    JamiiForums Tanzania Mohammed Kawaida: Mliona tulichokifanya, mwingine ajifanye mkubwa kuliko CCM aone

    Allahu-Akbar Hii Nchi Imeanza kuchangamka
  4. Kimwagacampus729

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mwanza eneo la Isamilo hatuna maji takriban wiki nzima, Serikali iangalie suala hili kwa umakini

    Wakishindwa Wao Tutaomba Nguvu ya Allah. Halafu Na Sisi Tutawasubiria. Wajae Katika Mfumo wetu.
  5. Kimwagacampus729

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mwanza eneo la Isamilo hatuna maji takriban wiki nzima, Serikali iangalie suala hili kwa umakini

    Halafu Kuhusu Kufungwa. Hilo Ni Zoezi La Karine. Usisahau Hata Mitume Na Manabii walifungwa Ila Kwa Mapenzi ya Mola Mlezi. Wakawa salama. Hivyo Pale Tunapozungumzia Kero za Wananchi. Kuweni Sirius Basi Utani wekeni Pembeni. Mimi Ninacho Amini Ndani ya Uwanja Huu. Waliopo wote Ni Watu Wazima...
  6. Kimwagacampus729

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mwanza eneo la Isamilo hatuna maji takriban wiki nzima, Serikali iangalie suala hili kwa umakini

    Hapa Kweli Lazima Tupotezewe. Maana Sisi wenyewe Tunatofahutiana. Kwa Kila Kitu. Mawazo Yako na Yangu Mbalimbali. Mimi kuwasilisha hili. Ni Vile Nimeguswa Kama Mwananchi na Mtanzania. Na Mshirika Alieifanya Hiyo Serikal Ilio busy Kuwa Madarakan. Hivyo Nina Haki Ya Kusikilizwa Na Wakatii. Kama...
  7. Kimwagacampus729

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mwanza eneo la Isamilo hatuna maji takriban wiki nzima, Serikali iangalie suala hili kwa umakini

    Ni Kweli Ila Kadiri Siku,miezi,miaka. Inavyosonga mbele Na Mambo yanabadilika. Ila Inaelekea kupindukia Mipaka. Kwa mwendo Huu Tumechoka. Ni wazawa Ndani ya Nchi. Ila Tunaishi Kama watumwa. Na Mfungwa Anayo Afueni Kidogo.
  8. Kimwagacampus729

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mwanza eneo la Isamilo hatuna maji takriban wiki nzima, Serikali iangalie suala hili kwa umakini

    Kupiga Tiki Ni Siri ya Mmoja Mmoja. Hivyo Kura Ni Haki Yako. Utachagua Wa Kumpa Kula Yako. We. Hata Ukikutana Na Kivuli Ndani karatasi ya kula. Kipe kivuli Itakuwa ni Siri Yako. Wala Hamna mjinga Tena Katika Huu Ulimwengu. Awae mjinga kapenda mwenyewe. Taa Ziko On
  9. Kimwagacampus729

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mwanza eneo la Isamilo hatuna maji takriban wiki nzima, Serikali iangalie suala hili kwa umakini

    Kweli Kuna Busara Ndani ya Kupambania Pumzi? Ukitaka Kuamini Itokee Siku Lala nyumbani Kwako. Ukiwa Huna Hata Tone La Maji. Halafu Kutana Na Mtihani. Wa Kuuguliwa Kama Hujaaenda Kukutana Nayo Hospital Na Ilihali mgonjwa mwenyewe. Ulishampoteza Kwa Uzembe Wa Wachache.
  10. Kimwagacampus729

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mwanza eneo la Isamilo hatuna maji takriban wiki nzima, Serikali iangalie suala hili kwa umakini

    DC Bado Anakula Mema ya Nchi. Wenda Akishiba Atatukumbuka. Hata Kwa Mabaki
  11. Kimwagacampus729

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mwanza eneo la Isamilo hatuna maji takriban wiki nzima, Serikali iangalie suala hili kwa umakini

    Hatuna Namna Tutazidi Kupiga Kerele Sana. Hata wakiweka pamba masikioni. Ila saut za wananchi zitapenya tu. Bidhinllah
  12. Kimwagacampus729

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mwanza eneo la Isamilo hatuna maji takriban wiki nzima, Serikali iangalie suala hili kwa umakini

    Ni kweli ziwa lipo Ila Mfumo Uliopo ndo kipengere. Kila Mjenzi Aliejaaliwa kumiliki Aridhi. Kwa Kadari zake Allah. Analo Bomba Ila Maji Hayatoki. Je' Nani Atafungasha Safari. Kwenda kuchota Maji ziwani. Ili Hali Tulishaaminishwa Sio salama? Mpaka Tuyapate Yale Yaliyo Andaliwa na Mfumo?
Back
Top Bottom