Recent content by Kimu mtanashati

  1. Kimu mtanashati

    JamiiForums Tanzania Nimemeza tunda ya Ubuyu. Je, kuna madhara nitayapata?

    Dah tumezisha utani hata kwenye swala mhimu
  2. Kimu mtanashati

    JamiiForums Tanzania Simama imara ni mapito tu, usijichanganye

    Amina Mungu kimbilio letu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Kimu mtanashati

    JamiiForums Tanzania Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

    Wenye Tanzania ni Mimi na wewe,wenye kuamua Tanzania iweje ni Mimi na wewe,wanasiasa wanajaza watu hofu na tumepokea hofu tumejawa hofu,wanasiasa wanahubili umasikini tumejawa umasikini vichwani,tunayo changamoto moja tu kama taifa tunajua kuongea sana kwenye vijiwe na mitandao.Hatujapenda...
  4. Kimu mtanashati

    JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto mbaya sana kuhusu nchi

    Kuna ndoto aina tatu ndoto za uchovu,ndoto za kufikiria jambo muda mrefu nakulitafakari sana peke yako na ndoto nyingine huwa kama ujumbe toka kwa mungu kukuonesha tukio furani sio lazima litokee wakati huo au sehemu husika uliyopo bali hata sehemu nyingine ( yajayo yana ukakasi tuombe Mungu...
Back
Top Bottom