Recent content by kimondo msolopa

  1. K

    Babu zetu waliwakataza wanawake kula mayai na nyama wakiwa na mimba kuzuia mtoto kuwa mkubwa, wengi wamekiuka hujifungua kwa upasuaji

    Kweli kabisa unachokisema na kitu kingine wahenga walichozingatia ni mazoezi unakuta mfano mama mjamzito ni mwalimu na kipindi hicho usafiri kama bodaboda, daladala na magari binafsi yalikuwa hamna au machache matokeo yake kipindi cha ujauzito mama hutembea kwa miguu kila siku kwenda kazini hadi...
  2. K

    Ndege ya ATCL number TC 106 Bomberdier, tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa

    Hatari sana.. ukiangalia kipindi cha air crash investigation NGE tairi zimesababisha ajali nyingi haswa ipasuke wakati wa kuruka halafu landing gear ikirudi ndani inaleta moto kwenye engine.. au hata wakati wa kutua ikipasuka ni shida
  3. K

    ITV kwanini mumeficha kutangaza kuwa Profesa Ngowi na Dereva wake watazikwa wapi? Kuna agenda gani?

    Dah sio kwa povu hili🤣🤣🤣 .... huwenda kuna kitu walikutendea ambacho hutawasahau kamwe hao wa kanda ya kaskazini
  4. K

    Tanga: Ashikiliwa kwa tuhuma za kuua baada ya kumfumania mkewe

    Hii hanyongwi mtu... jamaa anachomoka mchana kweupeeee.. kama vile kuuwa jambazi tu... kuna njia nyingi za kujitetea kwenye hili..
  5. K

    Tanga: Ashikiliwa kwa tuhuma za kuua baada ya kumfumania mkewe

    Tanga wanaita Soni- Mombo (kupenda mserereko)Jamaa mshenzi sana hapo ukute kala msosi kwanza bure, kajifutia taulo la jamaa, na pia kala mashine bure, kalala kwenye kitanda cha jamaa na kaambiwa kojolea nje nisipate mimba kachafua shuka za watu, hapo unaponaje kwa mfano.
  6. K

    TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

    Dah nakosa hata la kusema, kweli kifo hakina huruma, R.I.P Prof. Ngowi
  7. K

    Orodha Rasmi ya watu wanaopitia Maisha magumu nchini Tanzania

    👏👏 ulichokisema ni ukweli mtupu sina cha kuongeza na ndio yanayoendelea huku mitaani mwetu
  8. K

    Utafiti wangu wa kijinga kuhusu madereva wa Serikali

    Sio madereva wa Serikali tu hata taasisi na makampuni binafsi madereva hawapendani kabisa lakini kwa utafiti wangu mdogo nimeona wengi wa madereva ni wenye shule ndogo sasa wakipata kazi inalipa kiasi wanakuwa na roho za ajabu na kutopenda mwenzake afikie alipo au apate kama yeye ndio maana...
  9. K

    Ipi sababu ya Kenya kupendwa kuliko Tanzania licha ya kuwapita utajiri wa utamaduni?

    Comments za hapa haimanishi Kenya inapendwa sana...Huwenda hiyo ndio nchi pekee aliyotembelea Africa sasa atasemaje anaipenda Tz au nchi nyingine kama hajawahi fika?
  10. K

    Napendekeza rushwa ziongezeke zaidi

    Rushwa imeangamiza wengi wasio na hatia...Mtu anamtaka mkeo... anaenda kutoa rushwa then unabambikwa likesi zitoo unatiwa ndani halafu jamaa anajilia mzigo taratiiibu huku wewe ukiozea jela.
  11. K

    Ujumbe kwa wale wote mnaoagiza magari kutoka nje. Usipite bila kusoma hapa

    Usisahau pia odometer tampered unakuta gari imetembea klm laki mbili mtu anapigwa anashushiwa imetembea Km elfu 30 anaingia kichwa kichwa anauziwa bei mbaya, Dah ukiangalia ndani gari ya klm elfu 30 imechakaa kila kona. Hao ma agent ndio michezo yao wao wanakununulia gari lililotembea klm...
  12. K

    Ujumbe kwa wale wote mnaoagiza magari kutoka nje. Usipite bila kusoma hapa

    Tatizo ni ushamba ndugu yangu yani mtu anajua kuagiza gari Japan ni rocket science kumbe ni kitu rahisi tu kipo straight
  13. K

    Nahisi nimepigwa kwenye hizi spare nilizoandikiwa

    Shock up mbele 1pc:D:D huyo fundi wa wapi anaebadilisha shock up ya upande mmoja? kituko..... hizo huwa zinabadilishwa kwa pair ili ziwe na same tension...
  14. K

    Ulaji wa Mafuta wa Subari impreza ninayomiliki

    Swali la langu ni je unaweka engine oil recommended by manufacture? utakapokosea aina ya oil kwenye engine itakupelekea kwenye ulaji mkubwa wa mafuta mfano unatakiwa uweke 5W30 wewe unaweka 20W50 hiyo gari lazima itumie mafuta mengi, kingine je unafanya service kwa wakati? kama hufanyi hivyo...
  15. K

    Hivi kwanini starehe nyingi ni dhambi?

    Si shetani kajiongeza katia utamu ili kunogesha!!! ila mwisho wake yeye mwenyewe anakubamiza
Back
Top Bottom