Recent content by Kimla

  1. K

    JamiiForums Tanzania Picku za kichina (jmc& cannon) zinaubora gani au changamoto ipi?

    Jamani haya magari ya pickup ya kichina yanasifa zipi bora au sifa mbay ukilininagshia na hilux au isuzu au pickup zingine sokoni?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wanaohoji utajiri wa Abduli mama wanapaswa kufikiri nje ya box

    Hiv wewe na akina Zitto kabwa ni wanafiki sana.Wakati wa Magufuri aliteua baadhi ya watu amabo ni kabila lake tu kwenye nafasi za kawaida mkaita ni Sukuma Gang lakini Waismau wapena vyeo watoto wao Hadi familia mnasema hakuna shida.Huu ni upuuzi
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Mama wewe pumzika hautakiwi kugombea, lakini naona umeshupaza shingo, usitake Mungu akasirike juu yako

    Afadhali wakati kuliko huu.magufuri wakati wake hakuwafunga wapinzani wakati wa kampeni
  4. K

    JamiiForums Tanzania Stars imemaliza mwendo taifa limepoteza; Morocco ni Football Brain tugange yajayo, Asanteni Watanzania kwa Sapoti kwa timu yenu

    ccm imetusababishia matatizo hadi yakukosa uzalendo..maandakizi tu seeiakili inadai imetumia trillion moja,kma siyi ufisadi unadhani ni kitu gani
  5. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania mnisamehe simsamehi Polepole, nikimsamehe Lissu risasi itamtoka mgongoni? Ben Saanane, Mawazo, Azovory Gwanda watafufuka?

    Afadhali aliyetenda mabaya lakini akajitokeza kuyasema na njia zilizotumika kuyatenda kuliko wanaochecka huku wakutuumiza.Mie polepole kwanza alikuwa balozi akaacha akaja kufukunyua haya matatizo
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia, TRA imekusanya kodi Tsh. Trilioni 120, kiwango kikubwa kuliko awamu zote kabla yake

    Sasa zimefanya Nini kama Hadi sasa madeni yamezidi kuwa makubwa
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: GSM mimi wala sikubinyi kabisa nimekupa nafasi fanya biashara - Kumbukizi

    Daa GSM qnaitwa Baba na mh Rais,,kweli ikulu imekuwa ya GSM
  8. K

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Nini maana ya maendeleo
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kama wafanyabiashara wenyewe ndiyo hawa walanguzi wa nchi basi JPM alikuwa sahihi kutwaa pesa zao kibabe zikasaidie wananchi

    Magufuei alikuwa mwanaume na angefika leo nchi ingekuwa mbali san
  10. K

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

    Ukweli magurufuri aliuawa,,,na mipango ilihusisha usalama wataifa na wafanya baishara wakubwa akina taifa gas,,mkwele etc so nikweli anachosema polepole.Tusimpuuze...sbb angalia mfumo wa Vigo ukivyokuwa unakwenda,,alianza mkaba ambaye alikuwq kigingi
  11. K

    JamiiForums Tanzania Swali: Mbona taarifa ya kifo cha Ndugai iko kimya kuhusu chanzo cha kifo chake?

    Amepewa sumu baada ya kungangania kuombea wakati System ilikjataa
  12. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe wapinga ushindi wa Chuma, kura 20 za wizi zakutwa, wataka uchaguzi urudiwe Makumbusho

    Sehemu kubwa ya nchi kulikuwa na wizi WA kura amabo umepelekea wabubge na madiwani wa zamani kushinda.Wametumia ile mbinu ya NEC ya. Kuibia wapinzani
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM

    Mlimuchafua magufiri kwa vitu visivyokuwepo
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM kufuta Kanuni hizi ili mgombea wao asipate vikwazo

    Tayari ni haramu,, hata wakibadili
Back
Top Bottom