Recent content by KIMIYAKIMIYA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua Wakurugenzi wapya TCAA na TAA

    Mbona baraghia tu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kutojua Makonda yuko wapi na Hali gani, Hatuna Vyombo vya habari vya Kiuchunguzi

    Weka ili yatatuliwe, vinginevyo tutabaki na ngedere na bundi wakati Kadogosa alisema umeme ukikatika Chuma kinaendelea na mafuta, kweli wananchi tunazarauliwa na the so called viongozi
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kutojua Makonda yuko wapi na Hali gani, Hatuna Vyombo vya habari vya Kiuchunguzi

    Kujua ni haki ya Umma , wakazi wa Ars wanamasilahi Yao mikononi mwake, hata kama Kuna mtu kakaimishwa , Kuna mengine atasema msubirini mkuu wa mkoa aje, kama ni likizo vzr ndani ya 28days kitajulikana
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tiketi za 'Simba Day - Ubaya Ubwela' zinakaribia kuisha, Yanga mnafeli wapi?

    Pigeni propaganda wee!!! kipigo Cha goli 7 buyu kinawasubiri tar 8
  5. K

    JamiiForums Tanzania Treni zote za SGR Kupewa majina ya Viongozi

    Hizi kelele zenu siyo majina, Kuna kitu/vitu vingine vimewakwaza jichunguzeni na mjihoji, kwani hata likiitwa kimya kimya kama Mimi shida iko wapi? Kwani litreni la umeme linapiga kelele, Mimi sijawahi kuliona huku Kahe station sijui ni rais awamu ya ngapi atatuletea
  6. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina kufungua Kesi zote ndani ya masaa 24

    Go mpina go
  7. K

    JamiiForums Tanzania CCM inamhitaji Kinana kuliko Kinana anavyoihitaji CCM

    Aliondoka Nyerere mwenye CCM yake atakuwa kinana? Kafanya Kwa uwezo wake ACHA Sasa apumzikde na wengine waendelee.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tuwe na adabu Kwa Jakaya, yaani wewe kijana wa misungwi , mbinga, kibondo unajua mipango ya nchi kuliko jakaya hadi umzodoe?

    Viongozi wetu wakuu tokea uhuru kila mmoja amejitahidi kwa namna na maarifa yake kutekeleza majukumu yake , japo ki % Kila mmoja wanatofautiana. Viongozi wanapigania kuongeza Pato la ndani na hata kukopa nje Kwa ajili ya miradi mikubwa na midogo ,Moja ya pesa alizotafuta Mh Kikwete ni mradi wa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Waziri Mwigulu Nchemba ni liability kwa Uchumi wetu!

    Kitendo cha kutupandishia Kodi ya Majengo kimiya kimiya kwenye Luku kimenifanya nimchukie sana huyu mnyapaa
  10. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waliomshauri Rais Samia kuwatengua Nape na Makamba, wamempotosha. 2025 Rais Samia atakwama!

    Ukitaka nzi wasikufuate tupa mzigo wa mavi, hao ni viroba vya misumari vilikuwa vinamuumiza kubeba hata hivyo ni kosa lake kuwawarudisha wakati kazi ilishamalizwa na Mzee baba
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tu; Mtoto wa Mstaafu kashakuwa Waziri kamili, safari yake inaendelea kimyakimya…

    Inamaana Kabul Kuna vyeo ukiwa na mafaili meusi unatunikiwa tu haina shida kasoro nafasi Moja TU
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Kenya iliyokataliwa na Hayati Magufuli yaletwa nchini

    Duuu! haya
Back
Top Bottom