Recent content by Kiminyios

  1. Kiminyios

    JamiiForums Tanzania Soma kilichotokea wanandoa wakifanya mapenzi japan ujifunze kitu

    Write your reply...upuuzi mtupu yaelekea bado unaushamba wa smart
  2. Kiminyios

    JamiiForums Tanzania Iringa - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    mnatuchanganya mara mwakalebela mara msigwa au wengine ni wapotoshaji wa makusudi kama ile account ya uchaguzimkuu kwenye twitter
  3. Kiminyios

    JamiiForums Tanzania Wanaokesha kwa ajili ya ukombozi wa Taifa, Karibuni Hapa

    shule ya msingi mbuyuni msasani ilikua ndio kituo changu uchaguzi uliopita #ukawa
  4. Kiminyios

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mzee Emanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA afariki dunia

    kufa kuna ahadi na hakukwepeki. hata mtu awe na ulinzi wa namna gani ikifika siku yake ndo byebye na hata mtu azungukwe na maadui wajuzi wa mbinu na wenye silaha za kila aina hawato muua mpaka siku alioandikiwa kufa ifike
  5. Kiminyios

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mzee Emanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA afariki dunia

    Acha kufuru ww kwani ww ambae hujamkashif lowassa utabaki
  6. Kiminyios

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mzee Emanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA afariki dunia

    kwani alioanzisha UKAWA ni kina nani na nani yaeleka hata maana ya UKAWA huijui
  7. Kiminyios

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mzee Emanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA afariki dunia

    duuu yaani we unachekaaa..!!!!? ama kweli asie jua maana huambiwa maana. kauliza kuhusu kuahirishwa uchaguzi.... ndio uchaguzi utaahirishwa kwa (ubunge) ngazi aliokua anagombea marehemu.
  8. Kiminyios

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mzee Emanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA afariki dunia

    INNA LILLAAHI WAINNA ILAIHI RAAJIUUN. Yaani uchaguzi una lake jambo japo kufa ni mipango ya Mungu lkn fikra zangu zinaenda mbali zaidi ya fikra za kawaida. Naona majonzi mengine yanakuja baada ya matokeo, nadhani kutakua na majonzi ya vifo na majonzi ya "kupotea" kwa waheshiwa saaana kwenye...
  9. Kiminyios

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa UKAWA watazungumza na waandishi wa habari jioni hii Colosseum Hotel

    mi nilijua zamaani hapo kwenye ugavi wa kugombea nafasi ndo kifo cha ukawa kitakapotokea mana chadema walioshaonesha tangu bungeni kwenye kuunda kambi ya upinzani kua wao ni wabinafsi....
  10. Kiminyios

    JamiiForums Tanzania Soko la Karume lateketea kwa moto usiku

    poleni waathirika.......mshukuruni mungu kwa yote...inasemekana chanzo ni mama ntilie lkn c bure hapo kuna lililopo nyuma ya pazia.....
  11. Kiminyios

    JamiiForums Tanzania Upepo mkubwa watikisa Jiji la Dar usiku, umeme wakatika!

    Mi nilistuka sa 8:38 ucku hakuna umeme lkn ilikua shwari. Baada ya dk 5 hivi umeme ulirudi ukaambatana na upepo wa kiasi badae kidogo mvua nayo ikanyesha si kubwa na si kwa muda mrefu vikakata ikawa shwari kama kawaida
  12. Kiminyios

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya mkoani Singida: Watu kumi na tatu wafa papo hapo

    Tatzo c ufeki au uhalis wa dereva bali ni kutojitambua na kutokujithamin sbb c kila ajal inamhucsha dereva "feki" na c kila dereva halali anafata yote atakiwayo.
  13. Kiminyios

    JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda: Mshahara wangu kama Waziri Mkuu hauzidi Shilingi milioni sita (6)

    duh hawa kweli wazee wa vijisenti yaani kwa mwezi wanakomba milioni 6 na bado wanakopa bank? Hii balaa....ndo mana ufisadi haumaliziki
  14. Kiminyios

    JamiiForums Tanzania Sitta: Bilioni 10 zimeandaliwa kwa ajili ya rushwa urais 2015!

    Muda ndo unakaribia kila mmoja anajiona yeye ndo msafi na mwenye kuyajua maovu ya mwengne yote hyo ni kufukuzia maslah tu
  15. Kiminyios

    JamiiForums Tanzania Sitta: Bilioni 10 zimeandaliwa kwa ajili ya rushwa urais 2015!

    Kila m2 atabeba mzgo wake mwenyewe mwenye macho haambiwi tazama ataona tu
Back
Top Bottom