Naomba kuuliza kama unataka kuresign kuacha kazi tarehe 22 (mwishoni mwa mwezi) mara tu baada ya kupokea mshahara na kuandika kuresign masaa 24, je unawajibika kurudisha mshahara wa mwezi mmoja?
Asanteni wadau.
Naomba kuuliza kama unataka kuresign kuacha kazi tarehe 22 (mwishoni mwa mwezi) mara tu baada ya kupokea mshahara na kuandika kuresign masaa 24, je unawajibika kurudisha mshahara wa mwezi mmoja?
Asanteni wadau.
Namtafuta mwalimu wa kubadilishana kituo mimi niko mara serengete sec, nataka kubadilishana kituo na mwalimu anayetaka kuhama kutoka katika mikoa ya pwani na daresalaam, asante naomba kuwasilisha
Samahani wadau mimi nina samsung tv flat inch 32 series 4 2014, tatizo langu ni kwamba Je! nikitaka kutazama chanel zile za kulipia nitalazimika kununua king'amuzi? au ninaweza kulipia kutumia namba fulani iliopo kwenye hiyo TV?
Pili, nina tatizo la ku seti rangi ilinione vizuri maana nona kama...
nami pia ninayo aina hiyo ya TV Lakini swali langu je ukitaka kutazama chanel zingine za kulipia mfano IMAAN TV, Je unahitajika kununua kisimbuzi(king'amuzi mfano star times), au unaweza kulipia kwa kutumia hiyohiyo chipu iliyoko kwenye TV? asanteni naomba kuuliza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.