Cha kufanya: Andika resignation letter ya siku 28 wakisha kukubalia hapo hapo unaomba ruhusa ya wiki moja watakupatia.Baada ya siku saba kuisha unaenda job siku moja ya pili unaomba tena ruhusa ya siku saba!! hapa hawatavumilia itabidi wao wakutimue ndani ya 24 hrs na mtakua mmemalizana Ila hii ni Kwa sector binafsi Kwa serikali sijui.
jiuguze then ukipata mshahara una andika barua ya kuresign
jiuguze then ukipata mshahara una andika barua ya kuresign
Baada ya kupokea Salary yako fanya kitu inaitwa AWOL = Absent Without Leave kuanzia siku utakayo pokea Mpunga wako by January 2016 utakuwa ushatimuliwa kazi. Ila kumbuka haya ni maisha uhenda kuna siku ukawahitaji kwa namna moja au nyingine
fuata sheria ili kesho zikulinde
Usinyeee kambi mkuu
watu wa hapa hawana ushirikiano ndomana nimekuja kwa wanajukwaa wenzangu ili mnimsaidie24 hrs rudisha mshahara,lakini hapo ofisini kwenu hakuna watu wana busara uwaulize?
sawa je nitakapochukua tu salary yangu na kuandika barua ya ku resign je sitowajibika kuwarudishia pesa ya mwezi mmoja?
sawa je nitakapochukua tu salary yangu na kuandika barua ya ku resign je sitowajibika kuwarudishia pesa ya mwezi mmoja?