Recent content by Kimdondzabange

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchini kenya wabunge ni lazima wawe na shahada

    Unakurupuka bro, mbowe ana shahada, lisu ndo isiseme na huyo msigwa anajiwe pia, nikukumbushe tz ili ugombee uraisi elimu ni lazima kuanzia shahada, kikatiba kasome usiwe mvivu, mbowe aligombeaje Urais 2005?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua wakuu wa kurugenzi zote za CHADEMA

    Acha uk Bado tinaulizana Kanda na ukabila mpaka leo? Mbona wachina, wahindi na waarabu wamejaa kariakoo kwani ni kwao pale??
  3. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Katiba na Sheria: Mahakimu wenye elimu ya astashahada na stashahada kufutwa kazi

    Kwani waliajiriwa na nani hao wa astashahada na shahada?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza wananchi wa Arusha kwa kuchoshwa na tabia ya Lema na mnaendelea na Shughuli zenu

    It's where one gets a life long experience so nothing bad
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la wabunge wa upinzani na maendeleo Majimboni

    Matatizo ya wananchi yanatatuliwa na wananchi Wenyewe na sio yeyote than the target group in question
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nchi gani Rais mwenye Diploma aliongoza ma-professor?

    Fikra fupi izo, katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inamtaka mtu anayegombea uraisi nchini Tanzania ni lazima awe na shahada among of other terms and conditions
Back
Top Bottom