Dr. Masumbuko Lamwai alivuliwa uwakili kwa tukio moja tu la kuvujisha siri za mteja wake mmoja. He was a very good lawyer and his fellow learned brothers knew how good he was. But that ethical misconduct ..... only one, was enough to remove him!
Huwezi kutumia mazuri aliyofanya mtu kumtetea...
Mkumbo,
Mkapa's ethical conduct that leaves alot to be desired is what one of us called little poison in a bucket full of clean water.
Ethics in leadership is everything. Mkapa did this and that well ..... but his ethical conduct .... aaaa ni Ubinadam. Hivi kweli tukubaliane katika hilo...
Rais akitoka madarakani, ndo inakuwa muafaka kumjadili na ku-sum-up performance yake. Baada ya Mz. Ruksa kustaafu, ilionekana alikuwa rais dhaifu kiutendaji... Makosa ya kiutendaji hayoooo kibao yanaonekana. Lakini ya Mh. Mkapa si ya kiutendajiiii, ni ya JINAI....
Kitila,
President hatakiwi kushukiwa kwa chochote kile .... either ni mbaya au mzuri ... hawezi kuwa vyote!!! Apologists wa mkapa wanatumia macroeconomic performance ya Mkapa ......na kusema siii malaika....yaani anaweza kuiba ila tuakasahau kwa kuwa alistabilize economy..... For what...
Kumkaribisha RA knowing the situation at a time was contraversial. Well alichokisema did not help. Sasa na hizi response zinazofuata ... ni uhuni! Vijimakanisa hivi visivyokuwa na coordination yoyote vitaishia huko .... huko.
Sasa kosa la mchangaji aliyealikwa kwenye fundraising ni nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.