Recent content by Kimbuge

  1. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Harusi yoyote itakayofungiwa Arusha Serikali ya mkoa italipia ukumbi

    Hizo gharama zitalipiwa kwenye kifungu gani cha fedha ya serikali? Mbona tunamchokoza CAG?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nitaandaa muswada wa kisheria kila kiongozi mwanasiasa alipwe kutokana na Hali ya maisha ya mwananchi wa wa kawaida yalivyo!

    Ila unaonekana kuichukia sekta binafsi, hao ndo walipa kodi nchini
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kutokana na upungufu mkubwa wa walimu wa vyuo vya VETA nchini, Kamati ya Bunge ya PAC yaishauri serikalini iajiri walimu toka India na China

    Hapo ndipo tunapojidhihirisha kuwa wote sisi hatufikiri, tunajenga vyuo halafu hatujui walimu tutawatoa wapi! Tulivoua vyuo vya FTC hatukuweka mbadala wake
  4. K

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda anakwenda kulifanya Jiji la Arusha kuwa maarufu kuipita Washington DC Marekani au Dubai

    Aliyekuroga, Mungu anamwona, yaani uataka kuiambia dunia kwamba Arusha haijawahi kuwa RC sahihi toka dunia iumbwe? Kweli?
  5. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtoto wa Mwigulu aanza siasa za majukwaani, awaomba wana Iramba kumuamini Baba yake

    Atakuwa ameshafanya assessment akaona kwa akili ile anachoweza ni porojo tu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ajipanga kuuthibitishia Umma kuhusu nyongeza ya mishahara ya Wabunge

    Kama wataweza, huenda hii ikawa ya kwanza
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la Jerry Silaa kuvunja majumba ya watu nchi nzima: Johnson Mahululu aidai serikali ya Tanzania bilioni 20

    It is subject to compensation, soma Land Acquisition Act, 1967 la Land Act, Cap.113
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kutokana na ukosefu sugu wa vitendea kazi Jeshi la Zimamoto napendekeza liunganishwe na kiwe kitengo ndani ya jeshi la polisi

    Kwahiyo Zimamoto likiunganishwa na Polisi ndo vitendea kazi vitapatikana? Hoja hapa ni kuongeza vifaa/vitendea kazi,
  9. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la Jerry Silaa kuvunja majumba ya watu nchi nzima: Johnson Mahululu aidai serikali ya Tanzania bilioni 20

    Ndugu yangu kasome Land law vizuri na katiba yetu ya JMT, wewe ungezungumzia uhalali wa uvunjaji wa hilo jengo, kuhusu umiliki wa ardhi, rudia kusoma sheria vizuri
  10. K

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Rais Samia alipaswa kutangaza kifo cha Hayati Magufuli akiwa ameshaapishwa, kitendo Cha Wakuu wa Ulinzi kuwa Watoa Taarifa ni hatari!

    Angeapishwa vipi bila wananchi kujua hatma ya Rais aliyekuwepo
  11. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Madini, Anthony Mavunde utaifuta lini Leseni ya utafiti PL 6973/2011 ambayo imekwisha muda wake?

    Wewe unaonekana una maslahi binafsi na hilo eneo,
  12. K

    JamiiForums Tanzania Faida yangu kibiashara kwa siku nane inaweza kumlipa Mkuu wa Wilaya mshahara; anapata wapi nguvu yakinifokea?

    Na wewe unaifurahia hiyo hali ya kuineana?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Faida yangu kibiashara kwa siku nane inaweza kumlipa Mkuu wa Wilaya mshahara; anapata wapi nguvu yakinifokea?

    Kwahiyo watu wanaishi kwa hisani tu ya wenye mamlaka?
Back
Top Bottom