Kuna binti wa kichaga mrembo sana amelelewa na wazazi wake wote wawili ni jirani yetu, baba yake ni mzazi mzuri na very strict kwenye familia yake alijitahidi kumpeleka shule nzuri mpk Nairobi lakini haikufua dafu, huyo binti amezalishwa watoto wa3 na vijana tofauti...hivi ninavyoongea wawili...
Wanaume wa kia africa wamelelewa kishenzi sana yaan hawana hurumahata kidogo na wenza wao unakuta anamfanyisha mkewe mikazi ye amekaa tu wala hajali na bado analalama juu vitu vinachelewa!
Huyo ndugu yako ni mimi, muda wa kupika pika kila saa unautoa wapi km sio mama wa nyumbani ni kazi sana...
Now we talk the same sentence, personally naonekanaga km mtu weird sababu sipendi undugulization,majirani wasio na faida pamoja na marafiki...mapenzi ndio kitu nilikataa kisinisumbue akili kabisa sababu kinaweza kufanya ukapata anguko kuu, siwi pressurized with what people talking and what...
Marekani hakuna mtu ataesumbuka kukurudisha nyuma wewe hata siku moja sababu they are brave enough to deal with their things and to be developed...sio hawa huku wa kwetu amabo kutwa mtu anahaha jinsi ya kumshusha mtu badala ya kuwaza jinsi ya kuendelea yeye.
Mmarekani hawez kulaumu uchawi wala...
[emoji28][emoji28]waafrica wache mambo ya ajabu wakati ndio umezungukwa nao?? Hujawajua watu vizuri...mi sitapenda tuendeleze huu mjadala maana hatutaweza fika mwisho ila weka akilini kua pmoja na hizo strategies zako zoote shukuru Mungu anakulinda...full stop, kuweka sijui watu strategies zao...
I know what kind of mentality u think am having while am too far from that, niko exposed kuliko unavyofikiria...Africa hatutaendelea kirahisi km tutaendekeza uvivu na uchawi..Donald trump mwenyewe alisema Africa ni bara ambalo halitaendelea sababu ya kuendekeza uchawi...uchawi upo na unafanya...
Wapi nimesema asifanye kazi? Mbona mtoa mada mwenyewe anakwambia anafanya kazi? Bro haya mambo yaaache km yalivyo shukuru Mungu kiupande wako upo sawa hakuna upumbavu wwt uliofanya kazi kwenye maisha yako basi, sio kwa uelewa au nguvu zako ila ni baraka tu.. kuna watu wwnapambana kukuzidi na...
Sijasema aende kanisani kasome comment yangu hakuna sehemu nilimention kanisa nimesema aombe Mungu, naomba upande juu usome comment yangu ya ushauri niliyompa...katika watu wa kwanza kuamini dini ni biashara ni mimi na sadaka yangu haitolewag ovyo kanisani isipokua kwa wenye uhitaji...hasa...
Sijaongelea interm of mali mkuu, thats more spiritual kwa namna flani tuna background tunayofanana kimalezi ila...nilikua km wewe onve upon a time ila kuna yaliyonikuta na nashukuru kwa uwezo wa Mungu nilipita so ninavyosema kuhusu Mungu na kibali naelewa nini namaanisha mkuu.
Sijaongelea uvivu hapo, shukuru Mungu kila kitu kipo sawa upande wako ni jambo la kumshukuru Mungu kila siku yawezekana umetokea familia nzuri ambayo haina mambo ya ajabu...people are suffering out there, km hujawahi face mambo km hayo ni ngumu kuelewa.
Kuchapa kazi ukiwa kuna nguvu ya ziada imeshikilia maendeleo yako huwezi kutoboa kamwe! Mungu ndio kila kitu akikupa kibali huku unachapa kazi km unavyosema hakika mafanikio utayaona.
Kwanza kabisa pole, usiwe pressurized na kuona km looser sababu your not ni kitendo cha muda tu kila kitu kitakaa sawa, kwanza kabisa nakusisitiza yaani hili ukilifanya utaona mabadiliko makuu...jaribu kuweka hata alarm uwe unaamka usiku mida ya kuanzia saa saba na nusu usiku mpk saa tisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.