Recent content by kimbilimbi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nchi yahamia Dodoma

    tunaitaji kiongozi mwenye upeo wa kuona mbali na mbinu za kutatua matatizo ya wananchi karata yangu naitupa kwa January anaupeo mkubwa sana
  2. K

    JamiiForums Tanzania CCM kuchagua moja Bumbuli au UKAWA

    Aaahhh nimependa majibu yako MASSANGE watanzania hatuna mda wa kufanya vya maana ni kazi ya kufanya upuuzi kwa mitandao
  3. K

    JamiiForums Tanzania CCM kuchagua moja Bumbuli au UKAWA

    Kanone unaina mbali kwa hotuba za january ni kweli zinaujazo sio zile za kupwaya na kupigiwa promo
  4. K

    JamiiForums Tanzania CCM kuchagua moja Bumbuli au UKAWA

    Kwakweli mimi namkubali sana january anauwezo wa kutoa hoja na kujieleza ,pili hana kashifa haitakuwa kazi kumuuza kwa wananchi ,tatu ni kijanacanayehitaji Tanzania mpya na sio ya vijana
  5. K

    JamiiForums Tanzania CCM kuchagua moja Bumbuli au UKAWA

    nimebadika juzi kama izi pumba tupia huo mchele tuuone sio kelele nyingi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa special thread

    Kutoa hoja kwenye tabu mkajihesabu nyumbani kwake
  7. K

    JamiiForums Tanzania Dodoma yawaka moto, ni safari ya matumaini na Tanzania mpya

    Nico1 ni wabunge wangapi wapo bungeni wa upinzani na majimboni kwao kumedolola tu na upinzani ndio wanaongoza kwa kupewa suport na bodaboda
  8. K

    JamiiForums Tanzania Dodoma yawaka moto, ni safari ya matumaini na Tanzania mpya

    Kwani bodaboda s watanzania na hawapigi kura@Mhadzabe
  9. K

    JamiiForums Tanzania Dodoma yawaka moto, ni safari ya matumaini na Tanzania mpya

    S mpambe ila nashangaa kuona mtu unaombea kitu unauhakika nacho Mhadzabe
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dodoma yawaka moto, ni safari ya matumaini na Tanzania mpya

    Kama unadhani uandishi ni ncha ya wembe jaribu?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Dodoma yawaka moto, ni safari ya matumaini na Tanzania mpya

    Unahuakika makamba anatumia pesa kujikweza
Back
Top Bottom