Recent content by KIMBE_KING

  1. KIMBE_KING

    Kijana unayeanza maisha usinunue pikipiki kama usafiri wako, utaondoka mapema

    Dah [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Mpambanaji ametutoka mapema sana M/Mungu amuweke mahali pema .......TECH.
  2. KIMBE_KING

    Msaada: Wanaoijua Bandari college DSM

    Sina uhakika kama wana-system ya kuitoa kwa njia ya mtandao, ila nakumbuka walikuwa wanaitolea pale pale chuoni.
  3. KIMBE_KING

    Riwaya za Kiswahili ambazo hazitakuja kuandikwa tena

    KIU YA HAKI naomba kujuzwa mtunzi wa hiki kitabu jamani.
  4. KIMBE_KING

    Jinsi ya kupata UK Visa

    JF naikubali sana inanifikirisha nje ya box, wakati mi naumiza kichwa nitapataje kibarua DSM port ndani ya nchi yangu. Kaza bro walipopita watu njia ipo utafika tu.
  5. KIMBE_KING

    Kwa kigezo cha umri huu naweza kujiunga JKT?

    5.Utoro haukubaliki na kosa la utoro mkataba utasogezwa mbele. Yaani mkataba kusogezwa mbele ni kama adhabu? au kiaje hapa.
Back
Top Bottom