Hii video ni moja ya ushahidi ambao unahitajika kwa wale waliokuwa wanabisha kuhusu UZI husika.
Ndio maana imeletwa hii waone na watambue wasiojua yaliyopo zanzibar kisheria, kama uzi ulivyoandikwa. Sheria ilimpokonya nyumba mjomba.
Ulivyoandika vyote vinanihusu, umasikini wa kurithi tena umekuwa maradufu.
Tunapambana kwa kila namna lakini hatutoki umri ynakwenda pia.
Wengi hawatambui ila sisi wengine tupo jamii forum kwa kupata taarifa, maarifa ili tupate fursa, kisha siku moja tujitoe katika hali hii mbaya ya umasikini...
Tukumbuke katika hizi fani za Afya wapo wanaofanya mitihani ya leseni(written na practicals
ni mwaka mzima wanasubiri huyo mitihani baada ya kuhitimu).
Na wengine katika wao, leseni huwa wanapewa tu ikiwa utaomba.
Tulitazame hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.