Recent content by kimatarle

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ni Fisadi au Dhaifu?

    :alien:
  2. K

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu "awatosa" watuhumiwa wa Escrow

    :confused2:
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wafumaniana, wabadilishana wake zao

    Kinachoonekana hapa ni Wote ni Watu wa Tamaa.Wataendeleza Hiyo Tamaa na Kamwe hawataweza kuishi Kama wana Ndoa.:panda::madgrin::hatari:. Umeme ni Lazima Utawanasa.:msela:
  4. K

  5. K

    JamiiForums Tanzania Wafumaniana, wabadilishana wake zao

    :panda:
  6. K

    JamiiForums Tanzania Loliondo: Wamasai wampa onyo Rais Kikwete

    Mtamfanya nini Nyie wakati kapanda merikebu (Jahazi) ambayo inalindwa na Mkuu wa Jeshi la Kuzimu."??.Huko Bro Kama ulikuwa hujui basi nikujuze, . Huko hapendwi Mtu wale Kiumbe chochote kilichobarikiwa na Mungu.Bali Ngawira Mjomba. Huko hakuna Haya wale Soni ,aliyotupa Muumba wetu ; Bali ni Bangi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Loliondo: Wamasai wampa onyo Rais Kikwete

    Mungu kawapa hao mafuta mengi kupindukia,Wamasai wakapewa mifugo na malisho yake, Mbona Yule anaingiwa na Jinamizi la Tamaa mbaya kutaka Kumpora Huyu???. Au ndio mnataka Kumsahihisha MWENYE ENZI kuwa alifanya makosa katika Kugawa Riziki kwa Waja Wake? Ah! Mimi Simo.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Alichokiandika Rais Kikwete kuhusiana na tuhuma za Wamasai kuhamishwa Loliondo

    Katiba inayomweka madarakani Raisi ambayo wakati wa Kuapishwa Anatamka kwa Watanzania wote Kuwa Atailinda na Kumshirikisha Mungu Amlinde ; Basi ndiyo itakayo tolewa Kama Ushahidi ile Siku ya Kiama.
  9. K

    JamiiForums Tanzania At long last: CCM yasema wezi wa Escrow account wabebe mzigo wao wenyewe!

    A Good and Trustworthy Watchdog is supposedly to be Vigilant not to wait for Tumbili to set an alarm of Danger and then due to Cowardly attitude coupled in Highest Degree of Hypocrisy Yanakurupuka na Kuanza Kujikomba na Kutikisa mkia.as if they are part and Parcel of the Mapambano.Hata Siku moja...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanyiwa upasuaji wa tezi dume Marekani, hali yake inaendelea vyema

    Sawa Kabisa..Wastaarabu Wanatakiana Mema Daima., Kwani sisi Wote ni Bin Adam, Mwenyezi Mungu pekee ndiye Asiyeugua. Manabii, Mitume, Watakatifu ....wanaoishi na wale waliotangulia Mbele ya Haki Waliuguza Huu Mwili tuliopewa. Kwa Hiyo Pse, TuChungeni Ndimi Zetu....LEAST ... Tusije...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanyiwa upasuaji wa tezi dume Marekani, hali yake inaendelea vyema

    oyahaa. Elewa haya: Wewe, Mimi, na Yeyote Yule , Wote Tunalindwa , na Siri juu ya Ugonjwa wa Mgonjwa. Wewe wa wapi wewe. Mbona Unademand Maelezo ambayo si haki Yako kwa Nguvu hivyo.???!!!.
Back
Top Bottom