Ila nahisi hapa imetumika lugha flani kuficha ukweli. Pengine hayo mapapai na mafenesi yanawakilisha kitu flani. Inaweza ikawa kweli sampuli za mtu mmoja zimepelekwa kwa majina tofauti na majibu yakawa positive na negative at the same time while it was from the same person. Ni mawazo yangu tuu.
Inawezekana ni vipimo vyetu tulivyonavyo.
Lakini hii inatia wasi wasi kama hamna hatua zilizochukuliwa kuhakikisha tunapata majibu sahihi ya sampuli zinazopimwa. Maana fact ni kwamba ugonjwa upo hata kama vipimo wakati mwingine vimetoa majibu ya uongo ( haijulikani kama ni mtu au vipimo ndio...
Elimu sio kitu cha kushikamana nacho sana linapokuja swala la kuoa...... Wapo wasio na elimu (madarasa) lakini ufahamu wao unazidi watu wenye degree
wewe tazama moyo wako... Watu wasikufanyie uamuzi.... Maana wengine wanaweza kukushauri other way arround
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.