Recent content by kimarios

  1. kimarios

    JamiiForums Tanzania Lowassa azomewa na vijana wazalendo Morogoro

    Mtoa taarifa kwanza huna maadili ya kazi yako chanzo hakieleweki cc tumekaa hapa lakn cha ajabu unaibuka Na taarifa za kipuuzi Tu,au unataka kupma kina cha bahar kwa kina?
  2. kimarios

    JamiiForums Tanzania Ni chama gani kilichotufikisha hapa tulipo?

    to be honest the resources of our country cant match with the level of our development....take look to a small country like Rwanda how does it developed although it has a limited number of resources compare to tz..? the problem here in our country is all about the poor management of our...
  3. kimarios

  4. kimarios

    JamiiForums Tanzania Ndugu Lowassa ni Kweli Fedha zako Nimekula Lakini Naomba Unisamehe

    Kura n sir ya mtu mwenyewe kwahyo unavyopost ujembe Kama huo what do u expect,do u want to sell ur vote or!elimika ww...
  5. kimarios

    JamiiForums Tanzania Ndugu Lowassa ni Kweli Fedha zako Nimekula Lakini Naomba Unisamehe

    Ndo mana tunaambiwa watanzania Ni wavivu wakufiri mambo ya msingi,ww hapo n mtu mzima unakurupuka Tu Na kuanza kupost upuuzi usio Na tija kwa wasomaji n vema Kama hujui matumizi ya social media uombe uelekezwe,Kula kwako pesa Na kutokula kunamchango gan kwa taifa hili.think big don't waste ur...
  6. kimarios

    JamiiForums Tanzania Lowassa apigwa Stop kwa Mwl. Nyerere Butiama

    Yan mazee tuachen unafk tu,hata kisura tu nan kat ya lowassa na slaa mwenye sura ya kuitwa rais???
  7. kimarios

    JamiiForums Tanzania Lowassa apigwa Stop kwa Mwl. Nyerere Butiama

    Hzo n chuk za kishamba tu,semen msiseme,tungengen story zenu zozote zle lowasa mwenywe kimya Kama kawaida yake haongei,ila mtashangaa pale atakaooapishwa rais wa awamu ya tano ndo hapo mtakapo funga midomo yenu
  8. kimarios

    JamiiForums Tanzania Kutoka Landmark: Lowassa aongoza, Mwigulu Nchemba awapiku wakongwe kwenye utafiti wa TEDRO

    Tatizo n moja Tu mnaombeza lowassa Tu watu wenye upeo mdogo mnaojarbu kuzuia mafuriko na kanga,what do u expect? chama tawala hata wakieka jiwe lishindanishwe na Ukawa jiwe litashinda.
  9. kimarios

    JamiiForums Tanzania Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

    ww c lowasa Tu sema rais wa jamhur ya muungano wa Tanzania mh.Edward Ngoyai Lowasa,kiboko ya ukawa...
  10. kimarios

    JamiiForums Tanzania Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

    N kwel kabsa lusinde yupo sahihi tumechoswa na hawa wanaotaman ikulu wakifkir kunagawwa pp kule.haiwezekan ushindwe kuongoza taifa la mungu Kama padri af utegemee kuongoza watu wenye itkad tofaut...kiboko yao n lusinde tuuuu
  11. kimarios

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?

    titizo ni moja tu watoa muswaada ni serikali na ndio maana hawakubaliani na mapendekezo ya upinzani, kiukweli serikali haizingatii demokrasia ya mawazo haswa pale wapinzani wanapotoa hoja ya mapendekezo ya kubadili baadhi ya vifungu vya sheria haswa kwenye muswaada huu.
Back
Top Bottom