Recent content by kimanga31

  1. K

    JamiiForums Tanzania Freemasonry Wametushika kila kona

    Ni kweli kwani mfumo wa saa ulipotoshwo na watu wa imani ya mungu jua yani wanao abudu jua kama mungu na ndio hao free mason wenyewe siku ilikuwa ina anza jua linapo tua na ilikuwa saa 12 jioni na saa 12 asubui system ya sekunda 60 na dakika 60 imeletwa na viongozi wa dunia ambao walitaka...
  2. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kushindwa vibaya serikali za mitaa

    Ccm ina nafasi sana vijijini kuliko chama chochote kile na sijaona kiongozi yeyote wa upinzani ambaye anaweza kupewa nafasi kubwa kama ya uraisi nchini tz kidogo wange mteuwa zito kabwe lakini hawa wengine wana wapakuliya ccm tu Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete! Akishinda ubunge Chalinze nahama Nchi

    Na kama huku hama iweje? Au una mpango wa kuhama tu weka wazi sio kwa sababu za kijinga kama hii Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Back
Top Bottom