Recent content by kimalando

  1. K

    JamiiForums Tanzania KKKT ni kubwa kuliko Mch. Kimaro, msihuzunike kuna jambo hamlijui, viongozi wake hawajakurupuka

    Baadhi ya maaskofu wanavuruga kanisa. Angalia kule Rukwa Dayosisi ya Ziwa Tanganyika Askofu Mwa... alivyovuruga kanisa. Mbeya Askofu Mwa... nae kavuruga. Sasa Dayosisi ya Mashariki na Pwani mwingine tena Askofu Ma... amelianzisha. Nyie akina Mwa... kutoka Mby Mungu anawaona
  2. K

    JamiiForums Tanzania KKKT ni kubwa kuliko Mch. Kimaro, msihuzunike kuna jambo hamlijui, viongozi wake hawajakurupuka

    Amesema muumini wa Kijitonyama si muumini wa Kimaro. Read between the lines
  3. K

    JamiiForums Tanzania KKKT ni kubwa kuliko Mch. Kimaro, msihuzunike kuna jambo hamlijui, viongozi wake hawajakurupuka

    Litrujia inafuatwa ni wapi haifuatwe?
  4. K

    JamiiForums Tanzania KKKT ni kubwa kuliko Mch. Kimaro, msihuzunike kuna jambo hamlijui, viongozi wake hawajakurupuka

    Kuna ushahidi kuwa aling'ang'ania Kijitonyama au ni speculation zako?
  5. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Amen. Mungu utusaidie kustahimili haya kwani sisi wenyewe hatuwezi.
  6. K

    JamiiForums Tanzania NHIF mnatuvuruga wananchi mbona kama hamjielewi tatizo ni nini?

    Kwa kweli NHIF wanatuchanganya. Leo nimeenda NHIF office iliyoko USHIRIKA LUMUMBA wakaniambia zile package tatu zilikuwa ni kwa majaribio. Sasa hazipo. Bima ya mtu binafsi ni sh.1.5 milioni kwa mtu mmoja sio kama ilivyokuwa in cover familia ya watu 6. Pamoja na hiyo kuwa ya mtu mmoja tu huduma...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Dr. W.P.Slaa kuwa Balozi: Rais Magufuli anaendelea kujieleza na kujipambanua kisiasa

    Unajua kitu kinachoendelea kwa sasa Africa ni issue ya Mugabe. Kilichotokea kwa Mugabe, ni kama kilichotokea kwa Gadafi na ku spread to some Northern countries. Ni kama viral diseases. Sasa ili kupotezea na kuwasahaulisha watu ni kuja na issue ambayo ita-dilute mjadala wa Mugabe. Ndio issue kama...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tujadili nafasi na sheria za kuwa lecturer Tanzania

    Ni chuo gani hicho?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa upinzani Tanzania

    Namshangaa na ninashindwa kumuelewa huyu mtu anayeshangilia na kushabikia kwa kile anachokisema kufa kwa upinzani nchini. Sijui kama huyu ndugu anajitambua!! Pole zake na afikirie tena mara mbili kwa hiki anachokifurahia!!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Lowassa, Hongera UKAWA

    Hongera Lowasa Hongera UKAWA Mungu yupo pamoja nasi
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mnaomuunga mkono Zitto naomba jibu la swali langu!

    Tumpotezeeni huyu kijana asitupotezee muda. Alikuwa anasubiri nini siku zote alifikiri tungefanya kosa kumkaribishe ili aendelee kulikisha siri za chama. Aishie zake.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amteua Prof. Mussa Assad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

    Bandua msalaba bandika mwezi ndio mchezo unaoendelea
  13. K

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Siioni Katiba Mpya

    Tuko nyuma yako mheshimiwa Warioba. Go go go!!
Back
Top Bottom