Recent content by Kimalaman

  1. K

    JamiiForums Tanzania Akaunti 3,000 za wanunuzi wasio na mashamba maarufu kama ‘kangomba’ zimefungiwa

    Wangewarudishia korosho zao. Hawakuibia mtu, walizipata kwa utaratibu uliokuwa inakubalika tokea biashara ya korosho ianze na katika awamu zote. Kuzitaifisha sio haki.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali kuwasajili na kuwapatia vitambulisho wakulima

    Kodi ya kichwa
  3. K

    JamiiForums Tanzania Serikali kuwasajili na kuwapatia vitambulisho wakulima

    Nashauri serikali irudishe Kofi ya kichwa.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Michango imezidi RC

    Zamani padri mzungu alisema "wale wasio na pesa wanaweza kuleta mayai"
  5. K

    JamiiForums Tanzania Itachukua miaka 2 hadi 14 kubangua korosho za msimu huu, yale mabomu yameshindwa na lile tamko la bunge litakuwa batiri la kumpongeza?

    Wanunue kutoka kwa nani? Wazibangulie wapi kwa mwaka huu? Ninaamini hili swala la korosho litakuwa scandal. Tusibiri tuone.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Aliyepima samaki kwa rula bungeni aula, awa mkurugenzi wa marine parks Tanzania

    Usiandike kama huna uhakika. "Inasemekana"! Na kina hulijui.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Askofu Kilaini athibitisha chanzo cha sikukuu ya Christmass ni cha kipagani

    Greatest hoax in the history of mankind.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?

    Kina watu wanaofokiria ndio watamke na kina wale wanaotamka kwanza ndio wafikirie. Wanaomsaidia kufikiria utawasikia wakisema, mmemuelewa vibaya.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Naona Mshahara umewahi kutoka kwa watumishi

    Hivi mshahara wa mtumishi wa kawaida unakidhi mahitaji ya familia kwa siku ngapi?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tunataka Tanzania iwe kama Ulaya

    Amekacha kwenda huko, hakujui?
  11. K

    JamiiForums Tanzania BAKWATA yamsafisha Mwalimu Julius Nyerere

    Hivi kwa miaka hamsini Bakwata imefanya nini? Katika Elimu, Afya nk. Wanajivunia kitu gani? Wameshindwa kujitegemea. Wanasaidiwa na serikali, hata juzi wamesaidiwa. Ni aibu kusaidiwa na asiye muislamu katika kujenga msikiti.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Fatuma Karume kuhusu wimbo wa taifa asema ‘Hii sio haki’

    Kwa hiyo ukitaka kuwafundisha watoto wako wimbo wa Taiga hili sharti uombe kibali?!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine tena Watanzania waingizwa hasara na Serikali kwenye vitambulisho vya wamachinga

    Hakuna hasara. Kitambulisho hicho kitalipiwa 20,000 kila mwaka. Kitatumika kwa miaka mingi.
Back
Top Bottom