Mkuu Red Giant, inaelekea umeanzisha kitu bila kutoa ufafanuzi wa kutosha. Wengine tunalearn hapa jamvini mambo kibao. kama IQ huwa inakuwa na kuboreka basi na yangu iko njema sasa, lakini ukianzisha kitu si dhambi ukadefine na kutoa maelezo ya kina, km ulivyoshauriwa.Mkuu Kiranga, nakufurahia...