Yaani katika watu niliowahi kuwaombea lolote liwakte ni Dr. Slaa....aliumiza watu wengi sanaa kuhamia ccm alafu sasa akawa anaitisha press na kuponda kisawasawa mpaka akaja na msemo wa kula mihogo.....
Pamoja na hayo yote lakini bado aliendelea kutolea mbovu viongozi wa chadema kwa kesema Mbowe...
1xbet naona wamerudisha miamala kwa simu (deposit & withdraw), huduma hii ipo sawa au ndo leo unaweka ukila huwezi withdraw kwa mobile money? nani katumia hii huduma?
Kama hujui uliza bro...Sonko ni mwana nipo naye kwenye group la basketball....jumapili aliweka odds 4 kwa stake kubwa akapiga 8M then akaweka odds 3 kwa stake kubwa akapiga 11M...jumla kampiga mrusi 19M...
Huu ndo utapeli wa wote wanaosema wanatoa VIP...kwenye public channel ya free atapost win lakini kwenye VIP unakuta ametoa mechi zaidi ya moja inayo shinda ndo anaweka win kwenye free channel......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.