Recent content by Kiluvya M

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wahitimu wa kidato cha 4 (O-Level)

    Asante kwa ushauri mkuu lakini ni vema ungesema ni ushauri kwa wahitimu wa kidato cha nne wanaotarajia kusoma nje na kufanya kazi nje ya nchi kwa maelezo yako. Pili huna sababu ya kuiomba serikali ilazimishe A level kwa sababu hizo! Mwanafunzi ataongeza nini Cha maana maishani kwa miaka yote...
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu huwa mnafanyaje kupata wanawake wa ndoto zenu

    Kulingana na uzoefu wangu... Kuna mwanamke halafu Kuna mke. Mke aweza kuwa mwanamke ila ni nadra sana mwanamke kuwa mke. Watu wengi ktk mahusiano hushindwa kutofautisha anadate na mwanamke au mke! Mwanamke hana cha kupoteza kwako,mke anafocus na kesho Yako/yenu! Mke huonekana tangu ktk hatua...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kuweka mfumo wa umeme

    Kuna wakati mtu anakuwa mjuaji hadi anaharibu!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kuweka mfumo wa umeme

    Umeme utaruka kuingia kwenye main switch toka MITA ya Tanesco?
  5. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Usipobadilika, Utalaumiwa wewe!

    Sawa,nitapita hapo mkuu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Usipobadilika, Utalaumiwa wewe!

    Sawa, asante.
  7. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kesho ya Afrika ipo katika mtandao

    Asante kwa andiko lako mkuu! Ni kweli Afrika inahitaji kufikiri upya.
  8. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Usipobadilika, Utalaumiwa wewe!

    Kabisa...amua,songa mbele mkuu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Usipobadilika, Utalaumiwa wewe!

    Shukrani mkuu, nitafanya hivyo.
  10. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Usipobadilika, Utalaumiwa wewe!

    Shukrani ndugu,nitafanya hivyo.
  11. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Usipobadilika, Utalaumiwa wewe!

    Utangulizi Ni kweli unasitahili kulaumu. Ni kweli wazazi hawakukuandalia mazingira rafiki ya kufikia mafanikio yako. Wewe siyo kama Mo Dewji aliyerejea nchini baada ya kuhitimu chuo Marekani 1998 na kuendeleza kampuni (MeTL) ya baba yake yenye mapato yanayofikia dola milioni 30 kwa wakati huo...
Back
Top Bottom