Recent content by kilutema 83

  1. K

    Mramba wa TANESCO hueleweki, kazi imekushinda, jiuzulu!

    Mimi mwenyewe nina wasiwasi na huu mgao wa kinyemela.Nawashauri mawakala wa vyama pinzani kujiandaa na tochi za mchina in case lolote litatokea. Huu mpango utaendelea hadi siku ya kupiga kura wahusika amkeni!!
  2. K

    CCM imehalalisha ukabila? Magufuli anahutubia kilugha

    Hizi ndio Threads zako za kujitanua! Usipotafutwa tutakutafuta!
  3. K

    Magufuli: Viongozi wa CCM wanaonisaliti nawajua

    Wanabodi, huyu FaizaFoxy ni mmoja ni mmoja wa wachaingiaji ambaye michango yake ni ya kidini na uchochezi wa kikabila wa hali ya juu lakini mods wanamuangalia tu! naomba vyombo vya kufuatilia waharifu wa makosa ya kimtandao waanze na huyu. Wakishindwa nitaamini anatumiwa kimkakati.
  4. K

    Bulembo: Hatutawaruhusu upinzani kwenda Ikulu

    Acha chuki binafsi. Kauli ya huyo Bulembo ni ya kichochezi tofauti na ya Lowassa.Kusema wapinzani hawataingia ikulu ni vitisho na uchochezi tume ya uchaguzi hatua kwa huyu mtu.
  5. K

    hii beach iko wapi?

    Ipo Singida!
  6. K

    Issa Shivji: Maswali yangu kuhusu azimio la Tabora ni haya

    Mkuu, PhD, hapa imetajwa falsafa ya ACT-Wazalendo, chadema inaingiaje? Mods pigeni torch upande huu!
  7. K

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Hata Kama hao ITV wana standby generator, je wananchi wanaofutatilia nao wana hayo majenereta? tuache kutoa comments za watoto wa darasa la pili!
  8. K

    Hatari! Kigunge Ngombale Mwiru ukiona mwenzio ananyolewa nawe anza kutia maji, hiyo ndio CCM.

    Mkuu Mag3 heshima kwako. Nimekuwa nikifuatilia thread zako hakika zimejaa weredi mkubwa na uchambuzi wa kina. Nikirudi katika mada husika, uliyoyasema ni kweli hakika. Tukumbuke wahenga walisema "ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga".Hayati Bob Marley anatukumbusha "what comes around goes around"
  9. K

    Livingstone Lusinde: Asante Zitto kwa kutuachia jimbo

    Rudia kusoma tena ulichoandika. Ulikuwa unakimbizwa?
  10. K

    Lipumba: Tunaunga mkono maamuzi ya CHADEMA dhidi ya Zitto

    Kati ya wanajamvi wadini na wakanda huyu the Big Show anawapiku wenzake humu kwa mbali sana. Tangu nimemfahamu humu yeye ni mada za udini, ukabila na ukanda basi! Wadau nadhani mnakumbuka wakati wa sakata la mafuta na gesi Lindi na Mtwara ni huyu huyu The Big Show aliyekuwa anakuja humo...
  11. K

    Tamko la Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislam Tanzania

    Nakubaliana na Tume ya Katiba. Divide and rule ndio mchezo mzima. Watanzania tuna safari ndefu!
  12. K

    USAHIHI wa alichokisema NAPE leo katika Uwanja wa Mazingira Bora - Karatu

    Juliana, ingekuwa na busara iwapo ungeleta uzi ukiwa na hizo video za hotuba za Nape na Kinana ili tuchague mchele kati ya chuya. Ulikuwa unawahi nini?! Kuna mashindano ya kuwahi kupost humu?
  13. K

    Kumekucha CHADEMA, Mwenyekiti wa Wilaya Mkoa wa Arusha na Mjumbe wa BAWACHA warudi CCM

    Juliana, CHADEMA wamepotezaje wilaya hapo?!, naomba nieleweshwe. Naona kuna mtu kakupa like kwa comment hiyo!
Back
Top Bottom