Recent content by kilunda

  1. kilunda

    Mambo kumi unatakiwa kujua kuhusu nchi ya Congo

    Mbona kinshasa naona kama iko jirani hapo na bahari ya Atlantic inakuwaje na wkt nilikuwa najua congo hakuna bahari
  2. kilunda

    Kufuatia Interview baina ya Tundu Lissu na Sackur, PolePole adai Sackur ni Mwanachama wao

    Yaani hana tofauti na HAJI MANARA Sent using Jamii Forums mobile app
  3. kilunda

    Clouds mnakera na hiyo theme yenu ya 'kaa'

    Ao EFM nao wana yao tumsaidie bashite kuchangia walemavu apo apo ukichangia inaonekana mtoaji ni DAB
  4. kilunda

    DAR: Imamu Msikiti wa Kimara asema wanawaachia TANROADS kubomoa Nyumba ya Allah

    Wao si wakiwa serikalini wanasema awana dini wapige tu nyundo tutakutana siku ya hukumu
  5. kilunda

    Rais Magufuli,kwanini usimpe Hussein Bashe hata Unaibu Waziri wa Wizara ya Fedha?

    Mbona naibu aliyopo sasa anatoka kondoa ivi kondoa ni znz
  6. kilunda

    Mambo matano muhimu yaliyochangia kushindwa kwa Lowassa

    Change, Tibaijuka mbona wamechaguliwa. Lowasa mbona ameshinda sema awajamtangaza tu.
  7. kilunda

    Magufuli aagiza wanafunzi, wasafiri bure

    Kali nyingine aliyoitoa siku iyo ni alipowaambia wanafunzi bure na wazazi wao wakitaka kupanda bure wavae sare za shule
  8. kilunda

    Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

    Duh! ivi ni kweli
Back
Top Bottom