Clouds mnakera na hiyo theme yenu ya 'kaa'

Eti kuwa mzalendo, then kataa kuwa kaa, ukisikiliza story yao kisa kaa mmoja anatoka kwny ndoo wengine wanamkamata, sasa huyo anayetoka si mzalendo mzalendo abaki na wezake pamoja, so kaa ni wazalendo
 
Unajua nilidhani ni mimi pekee ambaye nachukizwa na tabia ya hawa Clouds kujifanya miungu watu, wanafanya mambo ya kiswahili mpaka wanaboa.

Kampeni yao ya kataa kuwa kaa nilidhani inalenga kuwaunganisha vijana wapeane dili, rakini baada ya Makonda kuwatembelea kuwapa pole, basi wakabadilisha mpasho unaoendana na ugeni huo na kuanza kusema Mashetani tunaishi nayo, yanajifanya mema, niliposikia upuuzi huu, niliamua kunadili stesheni nianze kusikiliza R.F.A japo namkosa Fredwaa aliyekuwa amenifanya nimfate Clouds, muda mwingi niliamini Ruge ni akili kubwa rakini nimeelewa kwanini wanasema ukishindwa kuweka pamoja familia yako, basi usitegemee kuwa mwanaume wa maana.
 
Bora nina wenzangu nao wanakerwa.
Yaani redio haina raha tena !
 
Kwa fikra zangu hiyo Them imewasaidia kuvuka kiunzi kikubwa.
Pengine wangeachana nayo maana inamkera mkuu Bandiwe
 
Ukifungua redio Clouds kutwa ni kulalamika tuu....kaa kaaa, usiwe kaa usiwe kaa, tubebaneee tubebanee !

Alivyovibeba Ruge inatosha bana mnatokera wasikilizaji wenu na vijembe na mipasho isiyoisha !

Acheni uswahili baana !
Tune TBC Taifa sauti ya nyikani
 
Ao EFM nao wana yao tumsaidie bashite kuchangia walemavu apo apo ukichangia inaonekana mtoaji ni DAB
 
Huku ni kuwaharibia biashara wenzako....Tv/Redio zipo nyingi. Unabadilisha tu..
 
Back
Top Bottom