Wanajamii, ni mategemeo yangu munaendelea vyema, tupo kwenye mchakato wa kukamilisha ufunguzi wa ofisi zetu za branch ya dar, hivyo tunahitaji vijana wenye nguvu, ari, moyo na uwezo wa kazi, na siyo longolongo.
Ingawa nimeshatuma tangazo kwenye jukwaa la la kazi, ila nimeona umuhimu wa kutuma...