Recent content by Kilombelo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mission ya COVID-19 ni kupunguza watu, basi Demokrasia na haki za binadamu za kijinga zinatia umasikini

    Kama kweli mission ya covd ni kupunguza ongezeko la watu Duniani, basi huo ni mpango wa kidicteta uliopitiliza Kwa sababu mission hii, haibagui wema wala majambazi! Ninachotaka kusema, Wakubwa wa Dunia hii ni watu wanaocheza na akili zetu ili tusitoke mahali pa kuombaomba misaada kwao na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akagua ujenzi wa Ikulu Dodoma

    R.I.P JPM
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Demokrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?

    Kwani Demokrasia ni nini mkuu, kuandamana na kutukana viongozi siyo? Maana ulichotaja hapo hayapo ndani ya deomkrasia, ni wizi kama wizi mwingine, maana hayo yanapaswa yawe under dicteta ili awalipue hao majambazi bila kusubiri hata mahakama
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Demokrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?

    Kwa hiyo unakubaliana kwamba Demokrasia ni moja ya kuleta matabaka na migawanyiko kwenye jamii siyo? Au kwamba Demokrasia ni sawa na mtu akichezea mkia wa simba huku akijua simba anatafuna watu, au inabidi simba awe kibogoyo tu ili achezewe kwa namna zote, kipi kizuri hapo?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Demokrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?

    Chadema wanajua hii dhana ya demokrasia uliyoitaja hapa mkuu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Demokrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?

    Basi huku kinachotumaliza na kutuingiza kwenye vita vya maneno na kutunishiana pia kuingia mogogoro ya kutwangana sisi kwa Sisi ni tafsri potofu ya demokrasia aisee
  7. K

    JamiiForums Tanzania Chanjo ni hiari: Spika Ndugai ni nani kuipinga kauli ya Rais?

    jinga! kaa kimya wewe!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Chanjo ni hiari: Spika Ndugai ni nani kuipinga kauli ya Rais?

    kwa hiyo siku hizi chanjo zimebadirika? zimekuwa tofauti na chanjo za zingine tulizowahi kuchanjwa? yaani chanjo za leo uchanjwe ama usichanjwe hatari ni ileile?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Chanjo ni hiari: Spika Ndugai ni nani kuipinga kauli ya Rais?

    hizi ndio point sasa
  10. K

    JamiiForums Tanzania Chanjo ni hiari: Spika Ndugai ni nani kuipinga kauli ya Rais?

    Matamko mengi ya viongozi, huangalia upepo wa wananchi unakwendaje Kunawaotetea sipika yuko sahihi kwa sababu yupo kwenye utawala wake kama mwajiri wa wawabunge, wanasahau kwamba kauli ya mh Raisi ni sheria, vinginevyo mh Rais atengue kauli yake ili sipika kauli yake ipate nguvu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Demokrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?

    Kama tu leo hii tunaongelea kuwepo na gaidi nchini
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Demokrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?

    Kwa nchi zetu hizi iwapo tunataka kusonga mbele, hili la katiba kama ya china linatufaa sana
  13. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dunia ya tatu ndio tunaliwa vichwa na watu wa Dunia ya kwanza?

    Nasikia kuna vichwa maji vinahoji wanaotafuta ukweli kuhusu usalama wa uhai wao wa baada ya kutumia hizi chanjo, eti ni kwa niuni wanahoji, Hivi, ni mjinga nani ambaye hawezi kuuliza juu ya mashaka ya chanjo hizi xinazoendelea huko duniani?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dunia ya tatu ndio tunaliwa vichwa na watu wa Dunia ya kwanza?

    Ile chanjo tuloletewa nimesikia huko ilikotokea inawaharibu waliochanjwa
  15. K

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa watu unaokufa. Je, inahitajika kuusisimua kwa kuwaongeza watu kodi ili kuusimamisha tena?

    Ngoja leo hii tozo ifutwe, na ikifutwa aliyebuni huu utaratibu ataishi kama alivyokuwa hapo awali? Hawezi kujidharau kweli na kisha kuachia ngazi?
Back
Top Bottom