Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akagua ujenzi wa Ikulu Dodoma

😂 😂 😂 kwa chuo hapana Veta,mtc na dit vinatosha......nashauri nilisikia eneo la ikulu ni kubwa sana,kwanini wasijenge apartment nyingi wakapangisha wakapata hela kufidia malipo ya tozo kwa wananchi,ni wazo langu tu
Akili zenu za kitoto au ni beck tatu
 
Jengo linaloendana na taifa letu la sasa ndo likoje?
Linatumia teknolojia, vifaa na muenekano unaoendana na tulipo sasa hivi kama nchi huru. Badala ya kuwaiga wajerumani, tungeiga kutoka tembe za wagogo lakini tungeziboresha kwa kutumia vifaa na teknolojia ya wakati inayoendana na mazingira ya Dodoma.

Amandla....
 
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa leo tarehe 13 / 08/2021 amekagua ujenzi wa Ikulu ya jijini Dodoma ambao mpaka sasa umefikia hatua ya finishing.

Waziri mkuu amerithishwa na maendeleo ya ujenzi huo na ana imani utakamilika kwa wakati na kukabidhiwa kwa watanzania.

View attachment 1890900

Hata huyu anamlilia jiwe:

IMG_20210513_200524_882.jpg
 
Back
Top Bottom