Hiyo Kozi ni nzuri sana bwana Mdogo. Mimi nilikuwa hapo St Joseph kwa sasa nakula maisha serikalini. Nenda kapambane fuata kilichokupeleka achana na magroup mengine. I wish you all the best.
Tanzania majungu sijui yataisha lini. Pigeni shule vijana, Wewe kama umeshindwa shule usitafute sababu ya wenzako pia washindwe. Watu wamesoma hapo na wamemaliza wapo kwenye soko la ajira huko wana pambana na kazi za kujenga taifa. Mtoa mada jipange upya.
Hakuna chuo ambacho hakina matatizo. !!! Vijana wengi wa siku hizi mna penda mteremko, St Joseph ni kwa wale wanaopenda kufuata sheria ni sehemu muhimu sana ya kupata elimu. Kwa taarifa yako nenda kwenye soko la ajira ndiyo utapata majibu huko. Vijana wanaotoka St Joseph wapo vizuri sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.