Recent content by Kilo

  1. K

    Swali kwa wanaume...

    Tafadhali wewe dada usijitafutie matatizo usiyoyajua. kwani umekosa nini katika njia ya ASILI. HEBU JITULIZE NA UKAE KITAKO KUTAFAKARI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  2. K

    Naomba ushauri wenu wana JF

    pole sana!!! uwekweli wa mambo ni kwamba KAMA ANAKUJALI KWA DHATI. atakuchukulia jinsi ulivyo na ni maoni yangu kuwa kama ameshaonesha nia hiyo TAFADHALI. usiachane naye, kwani unamuhitaji sana mume wako katika hali yako ya ugonjwa . atakusaidia sana katika mambo mengi wala usidhani ni katika...
  3. K

    How kan i know.....

    Nadhani huyo rafikiyo bado hajaonesha kuwa anakupenda kwani kama anakupenda kwa dhati angekutafutia muda muonane na kushare mambo ya msingi katika mahusiano yenu. bado una nafasi ya kuendelea kumchunguza kama kweli anakupenda.
  4. K

    Raise your natural man/woman

    Indeed this article has touched the core of what many people would like not to hear. ukweli ni kwamba watu wengi wanataka kuishi kimarekani wakati ni watanzania wa kawaida kabisa. nakupa Big up sana ndg uliyeandika huu ukweli wa kuheshimu UHALISIA wa jinsi tulivyozaliwa na kuachana na FIKRA...
  5. K

    Nimejichubua,je kuna dawa ya kurudisha ngozi ya zamani?

    pole sana kwa kujichubua. na nasikitika kidogo kwani hukujua kuwa unafanya kosa kubwa kuliko!!!!!!!!!! cha msingi acha mara moja na utubu kwa Mungu kwa kufanya hayo marekebisho ambayo Mungu hakukuumba nayo na uridhike na ngozi yako
  6. K

    MC aingia mitini na 300,000 za wanaharusi

    huyu ni wa kumtafuta na kumpa somo kwani Mc wa aina hii hastaili hata kidogo kupewa kazi.
Back
Top Bottom