Recent content by killian Charles

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I am tired of keeping it by myself

    Muachie hii lugha Paulo "you was searching"??????
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upendo huu wa mawifi zangu umenifika happaaa!

    Kaka yao alikupenda jinsi ulivyo na alijua fika kua kuna mabinti wanaojiremba zaidi yako ila alikupenda ww na sio hao wengine. Hao mawifi wanaona ww ni mshamba na kama unawaaibisha ndo maana wanajitahidi kukubadili ili na kaka yao aonekane ana sister duu ila you have to be yourself sababu wao...
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu hawezi kabisa kuishi na dada wa kazi

    inaonekana mkeo ndo anacontrol nyumba hapo kwako na ww husemi kitu, unaweza kumwonya aache hy tabia au jiandae kuishi na mwanamke anaengoe hovyo maisha yako yote,, hy tabia badae ataianzisha kwako pia miaka michache ijayo.
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma jamani

    UTAVALIA NGOZI YA KONDOO NA WAOAJI AMBAO WAKO SERIOUS....... HAYA MAMBO NA BAHATI INAHUSIKA..
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma jamani

    MARAHABA
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani hapa?

    kuna ku squit = kumwaga na orgasm = kufika kileleni. sasa hv vitu wa wanawake wengi ni mystery wengi mbaka wanakufa hawajawahi kuviexperience. Kusquit ni kitu kinachowatokea baadhi tu ya wanawake.. Ila orgasm hii mbaka upate fundi akukaze ipasavyo. wengi hua wanatokwa na majimaji ya kulainisha...
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina kazi, mpenzi wala marafiki, napata mawazo ya kujiua

    haya maisha "you have to be a dick" going out there to claim your position in this world, watu wengi wanacomplain hamna kazi afu ata kazi hawaaplly na d2d hawajawahi kufanya.. kila siku tunaenda kwenye interviews tunakutana na the "same people" ambao wameamua kua "dicks" but mimi nimemaliza chuo...
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda mwanaume anayejiongeza

    tafuta libabu ambalo lilitafuta miaka hiyoooooo saiz lina watoto wakubwa kama wewe ulipe mzigo hz shida zako ni ndogo ila kwa vijana tunaotafuta maisha utatafuta saaana. tena skuizi madingi wanapenda sana watoto kama nyie.
Back
Top Bottom