Shida ya CDM walijiweka kuwa wao ni Malaika. Kumbe viongozi wao weeengi nao ni kama CCM tu. Sema hawajapata nafasi. Wakishika madraka nafikiri watakuwa kama au zaidi ya CCM.
Unaambiwa kiwa, ukishakuwa chama mbadala basi fanya mambo togauti na yule unayemkosoa... kama unataka kijifananidha basi haina maana ya kuiondoa CCM madarakani maana na nyie mtaiba kama wao. Msome Roma Mkatolic amendika vizuri sana namna ya kujipambanua. Unless basi watu wanaweza kusema ni kheri...
Naomba msaada kwa anayejuwa app ambayo naweza kutumia kununua vitu mtandaoni kama vile compyuta au phones.
Iwe used au new but from nje km china au kokote.
Ila iwe wanafanya biashara na watanzania.
Brother kikubwa uko salama.
Mengine ni nyongeza.
Nilishapagawa mzee.
We ni bonge la mzalendo kwangu.
Sijawahi kuona unakosea..... your a great thinker to me.
Hivi kwanini watu wa chedema huwa hawataki kushauriwa?
Na mtu ukitoa ushauri kuhusu chama chao wao huishia kutukana na kukuita wewe wa lumumba?
Cha ajabu wao ni wakubwa na wakwanza kukosoa na kushauri ccm? Wanini wao wakikosolewa huwa hawaelewi?
Wanaimba kuhusu democrasia, kwanini wao huko kwao...
Hata mie sidhani kama kuna ukweli katika alilolisema.
Haiingii akilini mtu atoe pesa kwa ajili ya kumpanga mtu amsifie fulani.
Hizi ni siasa majitaka tuu..
Hapo ukimchukuwa huyo atoe ushahidi wa alichokiseam hatotoa.
Nimefuatilia sana mjadara wenu.
Napenda mnavyoeleweshana.
Mko katika imani tofauti, kwahiyo kila mtu ana imani yake, na kila mtu hapo kuna alivyofundishwa.
Kiukweli biblia ni muunganiko wa agano la kale na agano jipya.
Kimoja kati ya hivyo sio biblia.
Hii ni kutokana na wakristo. Aasa sijuwi...
hamna mwenue majibu hapo kaka.
watasema umetumwa au unatumika tuu kaka. hamna mwenye majibu.
walishazoea kuzusha, walimzushia Lowasa wakati huoooo, na wakasema wana ushahidi. leo hii wao ndio wanasema mwenye ushahidi na ufisadi wa lowasa apaleleke mahakamani, na kam hamna wafunhe midomo.
sasa...
Lakini si unajuwa kuwa mkopo hutolewa kwa kufuata vipao mbele?
Kuna kozi, tayati zilishajuikana kuwa ni non- preority.
Na wale waliokidhi vigezo wanasema ni 25000.
Sasa tuangalie hao waliokidhi vigezo walishapewa mikopo?
Maana hili la vipao mbele nafikiri lilikuwapo hata hapo zamani.
Hamaanishi lazima tuwe na vyuo vichache. Ila tunaweza kuwa na vyuo hata 100000000 ila vyenye ubora ( vyuo bora sio bora vyuo ) kama hivi tulivyonavyo sasa, vingi havina ubora.
Kwahiyo alikuwa anamaanisha kuwa kama tukishindwa kuboresha vyuo, basi ni bora tukawa na vyuo vichache ila vyenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.