Uandishi wako unaonesha ubinafsi na ujuaji uuchwara. Kama kweli unaona hajafanya la maana, ungetiririka kuonesha hajaboresha Elimu kwa kutoa mifano kisha ukamalizia kwa uonavo wewe kitaalaam ungepewa wewe wizara ya Elimu ungeboreshaje. Ubinafsi na kutaka kunyenyekewa ni tatizo lenu wasomi...
Acha kushindwa kutofautisha wakati salama na usio salama! Hivi wakulima shambani wamegoma kulima kwa kukosa chakula, uje wewe ulime bosi wakati mavuno akuruhusu uvune ukale na familia yako? Haiwezekani utahadaiwa mwisho ni maumivu.
Hoja iko hivi ametangaza kipindi hiki ambacho Karibu 60% ya watumishi sekta binafsi na umma hawamkubali kwa nini hakutangaza hivo siku zote alipokua madarakani iwe Leo hii amebanwa?
Tatizo hatuelewani nakuambia uhuru amebanwa amezungukwa na watumishi sekta binafsi na umma wasiomkubali. Kuitawala Kenyà Inahitaji mbinu mbadala na ndio hizo zinakuja kipindi cha hali mbaya ya kisiasa. Kwa nini hakutangaza hivo siku zote alipokua madarakani iwe Leo hii amebanwa?
Mkuu naona haujanielewa ni kwamba Mtawala Kenyà ameingia madarakani kwa kuchaguliwa na idadi ndogo sana. Anakabiliwa na upinzani mkubwa wa watumishi wa umma na sekta binafsi wasiomkubali. Kiti ni hot, anatafuta ahueni yake. Hivi kwa akili tu ya chekechea kuna jirani anakulimisha shamba uvune wewe?
Heshima kwenu wadau,
Ni wazi nchini Kenya hali ya kisiasa ni mbaya na kiusalama inatishia amani na kutokea kwa mgawanyiko mkubwa kuliko vipindi vyote vilivyopita. Hali kadhalika nchini Tanzania hali ya kisiasa ni mbaya na kiusalama inatishia amani na kutokea mgawanyiko mkubwa kuliko vipindi...
Hapa Kasulu Mjini Mkoa wa Kigoma, kiangazi mabomba mengi hayatoi maji kabisaa na hayo machache hutoa mara moja kwa wiki mbili. Masika hatuoni maji kabisaa isipokua mabomba yanatoa tope jekundu mara moja kwa wiki na kuziba miundo mbinu ya maji. Wakala wa maji anatulazimisha kulipa FLAT RATE...
Kwa wahusika 20/10/2017 ni deadline na mliniandikia barua kuanza KULIPA Mwezi September Online.
Nipo online tangia asubuhi kwenye TAX RETURN ELECTRONIC FILING SYSTEM Usajili is complete tangia majuzi. Nimelog in mimejaza fomu ya kwanza nimemaliza.
Nimetiki kuthibitisha fomu imejazwa poa...
Hilo ni jiwe la ukweli linalowanyoosha waliopinda pande zote. Ajabu ya TZ wanakuja wafuasi wa magwanda ya kijani wanaona Kiongozi wao ni mtukufu hakosei utajuta kushauri, wanakuja wa magwanda ya kaki wanaona Mbowe, Lissu etc ndo malaika wa kuikomboa TZ hawakosei (hawa wametubeba katika umoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.