Recent content by kill them

  1. K

    JamiiForums Tanzania HESLB yatangaza orodha ya pili wanufaika 2024/2025

    Kuna continues yoyote unamfahamu kapangiwa mkopo?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Wameshatoa majibu kwa walio appeal?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Nenda stationary ulipe hela ufanyiwe usifanye ubahili wa kulipa stationary ukaharibu mambo
  4. K

    JamiiForums Tanzania HESLB: Batch One Out Now

    Daah chuoni wanadai kila kitu saqa jamani yaani mpka nahisi kuchanganyikiwa najiona kama kama tuna mkosi upande huo
  5. K

    JamiiForums Tanzania HESLB: Batch One Out Now

    Nipo mkoani mpendwa
  6. K

    JamiiForums Tanzania HESLB: Batch One Out Now

    Appeal Application You Cannot Apply For Loan Appeal Because Admission Details Not Found Nimeingia option ya kuappeal kwenye acount ya dogo inaandika hivi while chuo alipata admission na ameshakuwa registered chuoni, shida inaweza kuwa mtandao au sytem ya chuo msaada plz[emoji120]
  7. K

    JamiiForums Tanzania HESLB: Batch One Out Now

    Ndiyo anajiandaa kuanza mwaka wa kwanza
  8. K

    JamiiForums Tanzania HESLB: Batch One Out Now

    Toka applications zimeanza naingia na kutoka jamii forum kumpambania mdogo wangu walau kumpa matumaini ya update lakini mpaka sasa hola account haifunguki batch one na two zote hatujapata licha ya kuanbatanisha uthibitisho wa ulemavu wake. Nahisi maumivu makali mno, sijui atajiskiaje...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Bachelor of art in philosophy and political science

    Third round wameshatoa majina ya waliopata vyuo?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimekwama kuambatanisha vithibitisho vya ulemavu maombi ya Bodi ya Mikopo

    Nimepunguz imebakia KB242 Ila bado mkuu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimekwama kuambatanisha vithibitisho vya ulemavu maombi ya Bodi ya Mikopo

    Nashindwa screenshot mkuu, ila kila nikiattach hiyo form inaload bila kukubali kuanzia asubuhi mpaka jua linazama, nimewasiliana nao wananiambia niscan form hiyo ya uthibitisho nipunguze ukubwa ibakie angalau MB 2 Ila bado inanigomea. Njoo DM unisaidie kama Unaweza kuwa na idea mkuu[emoji120]
  12. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimekwama kuambatanisha vithibitisho vya ulemavu maombi ya Bodi ya Mikopo

    Wakuu naomba msaada wenu kwa aliyefanikisha kuambatanisha uthibitisho wa ulemavu kwa mwombaji wa mkopo. Nisaidieni mwenye utaalamu au aliyefanikisha. Maana kila nikiattach hiyo form ya daktari ya kuthibitisha ulemavu ina load bila kukubali.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Dirisha la maombi ya vyuo awamu ya tatu

    Nashukuru sana kiongozi
  14. K

    JamiiForums Tanzania Dirisha la maombi ya vyuo awamu ya tatu

    Ahsante mkuu
  15. K

    JamiiForums Tanzania Dirisha la maombi ya vyuo awamu ya tatu

    Habari za asubuhi Wakuu? Naomba kuwauliza kama vyuo vikuu vimeshafungua dirisha kwaajili ya maombi ya vyuo awamu ya tatu, na kama limeshafunguliwa vipi deadline ya kuomba ni lini?
Back
Top Bottom