Salaam ndugu zangu
-Je unahitaji mtaalamu mshauri wa kukuongoza namna bora ya kulima mazao mbali mbali (Mazao ya Horticulture (Parachichi, Nyanya, Hoho, Tikiti Maji, Kabichi, Karoti, Pilipili kali, Vitunguu maji, Viazi mviringo, , Cereals (Nafaka-Mahindi, Mpunga n.k), na Beverage (Hasa Kahawa)...