Recent content by Kilimila

  1. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu Nimrod Mkono na Edwin Mtei tuhuma za BOT

    Kwa ufafanuzi Mtei hakuwahi kuhusika na kashfa yeyote ya Wizi akiwa AMA BOT au taasisi yeyote Mtei alitofautiana na Baba wa Taifa ki sera na mtizamo haswa swala la kutaifisha Mali na serikali kuziendesha na point ya Mtei ilikuwa ni kwamba Kama Nchi hatukuwa bado na wataalamu wa kuendeshe...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kibo Complex - Tegeta Sisalama Tena!!

    Kwa kweli Wa TZ tukubali Kibo Commercial Complex ni moja ya majengo ambayo kwa hakika muwekezaji amejitahidi kuhakikisha wateja wake wanapata parking ya kutosha na ulinzi wa uhakika. kama ilivyoshauriwa ni muhimu kuhakikisha huachi vishawishi ndani ya gari lako na kuwa muangalifu unapoongea na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tanzia kwa mwl Mbise a.k.a Mkuda katutoka

    Wakuu kwa mliosoma Umbwe miaka ya 1986-1989 kuna mwanafunzi wa O- level kwa Jina Nicholas Alois Shirima. Huyu bwana alitoweka tokea mwaka 1994 na hadi sasa hajulikani alipo na hakuna ndugu yake yeyote mwenye taarifa zake. Pse Kama kuna yeyote mwenye some hints naomba tufahamishane. Kwa mara ya...
Back
Top Bottom