Recent content by kilimbamula

  1. kilimbamula

    JamiiForums Tanzania Zahera aache uzushi aiande Yanga kushindana.

    Katika hali isiyo ya kawaida Kocha Mkongo Mwinyi Zahera anaonekana kuwa msemaji wa timu badala ya kazi yako ya ualimu. Kocha huyo amekuwa mzito kukiri udhaifu wa kikosi chake pindi wanapopata matokeo mabaya uwanjani badala yake huanza kuwazushia wenzake na kuwapa lawama. Tukio la hivi karibuni...
  2. kilimbamula

    JamiiForums Tanzania Nandy amlilia Ruge, aonyesha mjengo alikuwa anamjengea

    Mzee kuna urithi analazimisha kuwemo Sent using Jamii Forums mobile app
  3. kilimbamula

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Pengo kubwa katika sanaa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kilimbamula

    JamiiForums Tanzania Nimewatembelea na Kuwapa faraja wafungwa akiwemo Mbowe

    Ulimpatia kipande cha sabuni cha kufulia?
  5. kilimbamula

    JamiiForums Tanzania BASATA yawafungia Diamond Platnumz na Rayvanny kufanya onesho lolote. Tamasha la Wasafi lafutiwa kibali. 'Nyegezi' yawaponza

    Mond anadiwa mkono wa birika, CSR hapeleki Sharif Shamba.
  6. kilimbamula

    JamiiForums Tanzania Fiesta ya Ali Kiba 2018 ,Dilemma

    Nyimbo zake hazipati Kiki kwasababu WCB hawaizungumzii hiyo ngoma. Shangwe la upande mmoja.
  7. kilimbamula

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa Ali Kiba 'KADOGO': Toa Maoni na ushauri wako hapa

    Uzi huu unawaunganisha pamoja maadui was Diamond.
  8. kilimbamula

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mtangazaji mrembo kuliko wote Tanzania

    Ufoo Saro ndiyo chuma kikali katika tasnia ya habari nchini. Ni mtazamo wangu naangalia ki comedy zaidi.
  9. kilimbamula

    JamiiForums Tanzania Hakuna show itakayoandaliwa na clouds weusi wakakosekana...

    Konki alisema hao mafundi bomba, wanazibua chemba.
  10. kilimbamula

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa Ali Kiba 'KADOGO': Toa Maoni na ushauri wako hapa

    Kiba kabugi tena, inaumiza sana
  11. kilimbamula

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa Ali Kiba 'KADOGO': Toa Maoni na ushauri wako hapa

    Yaani kawavalisha mabint vichupi, wapi tunakwenda katika sanaa hii? BASATA wanatakiwa wawe makini.
  12. kilimbamula

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa Ali Kiba 'KADOGO': Toa Maoni na ushauri wako hapa

    Naye ameimba kwao wapi na kataja kifupi fupi kama mwenzake?
  13. kilimbamula

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari: Mimi pia natamani sana kuwa Rais wa TZ. Kama vipi TUBADILISHANE

    Huu siyo uhaini? Kijana anastahili adhabu kali.
  14. kilimbamula

    JamiiForums Tanzania Hivi mama zetu siku hizi wanatuonaje sisi watoto wao?

    Vijana wangu, mama zenu tunawabeba pia, tofauti yetu ni kwamba tunawabebea chumbani nyie hamuwaoni.
  15. kilimbamula

    JamiiForums Tanzania Joseph Kusaga: Tamasha la Fiesta kufanyika Dar es Salaam Disemba, namiliki Redio zote za vijana

    Anatetea unyonyaji wao wa kuwapa wasanii laki 3 tu.
Back
Top Bottom