Recent content by KILIMANI HEWA

  1. K

    Serikali ya awamu 5 tunaomba itusaidie

    Wapiga kura Wa mtaa Wa Kidimu na Mkombozi, halmashauri ya mji Wa Kibaha tunaiomba serikali ya awamu ya 5 itusaidie kuondoa kero ya muda mrefu ya kivuko/daraja linalounganisha kati ya mitaa tajwa na mtaa Wa mpiji Magohe uliopo wilaya ya kinondoni. Kero ya kivuko/daraja ni ya muda mrefu ambayo...
  2. K

    Lowassa azizima Mikumi, Prof Jay Ubunge tayari

    umeshindwa kukata k...mi cha mama yako utawezaje Kwa lowassa?
  3. K

    Nape Nnauye apata ajali Kilwa, alikuwa akitokea Dar kuelekea Lindi

    KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amepata ajali mbaya akiwa njiani kuelekea Lindi akitokea jijini Dar es Salaam. Nape amenusurika kifo katika ajali hiyo iliyotokea leo asubuhi katika eneo la Njia Nne Kilwa akiwa anatoka Dar kuelekea jimboni kwake. Nape...
  4. K

    VIDEO: Rais Kikwete azindua Uwanja wa Ndege za kivita Morogoro; Mkuu wa Majeshi ahudhuria

    Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais JAKAYA KIKWETE amezindua awamu ya pili ya ujenzi wa uwanja wa ndege za vita uliopo katika kamandi ya jeshi la anga iliyopo NGERENGERE mkoani MOROGORO. Akizindua ujenzi huo, Rais KIKWETE amesema mazingira bora ya uwanja huo pamoja na...
  5. K

    VIDEO: Rais Kikwete azindua Uwanja wa Ndege za kivita Morogoro; Mkuu wa Majeshi ahudhuria

    Ubishi mwingine hauna tija ndugu yangu, hata mimi nimemuona, ameongea baada ya kikwete na akafuata waziri Wa ulinzi. ameonekana ITV katika ufunguzi Wa uwanja Wa ndege Wa jeshi huko Ngerengere Moro
  6. K

    Tigo na ujumbe wa kumnadi Magufuli, ni sawa?

    Ndugu zangu Watanzania, leo ni siku muhimu kwetu, tutumie siku hii kutafakari namna tunaziishi fikra za Mwl. Nyerere, yeye alipinga Rushwa na Ufisadi na alikataa mali na utajiri kuwa sifa ya uongozi. Tuziishi fikra hizi kwa vitendo na Mungu awabariki. Dkt. John Pombe Magufuli. Nakusalimu...
  7. K

    Tigo na ujumbe wa kumnadi Magufuli, ni sawa?

    Siku za hivi karibuni, kampuni ya mawasiliano ya Tigo, imekuja na mbinu mpya ya kumnadi Magufuli kwa kusambaza sms kwenye simu za wateja wake. Tangu lini kampuni hii imegeuka genge la kampeni za chama Tawala? Ni sawa kusambaza sms hizo kwa wateja wake ambao wana itikadi tofauti za kisiasa...
  8. K

    Lowassa: Wenyeviti wa Vijiji, Vitongoji na Serikali za mitaa kulipwa

    Naeema imetangazwa, kwa Wenyeviti wa Serikali za Vijiji,Vitongoji na Mitaa, kuwa Mhe. Edward Lowassa, akishinda katika uchaguzi waMwaka huu na kuwa Rais wa Awamu ya Tano, ataanza kulipa mishahara viongozi haoambao tangu taifa hili lilipoanza hawajawahi kupata fursa hiyo. Tamko hilolilitolewa na...
  9. K

    Lowassa: Wenyeviti wa Vijiji, Vitongoji na Serikali za mitaa kulipwa

    Habari njema Kwa wenyeviti wa SM, mgombea urais kupitia CHADEMA ndg Edward Lowassa, tarehe 13 Oct 2015, katika mkutano wake wa kampeni huko Mza, ameahidi iwapo atachaguliwa kuwa rais wa awamu ya 5, atabadili sheria ya sasa na kuanzisha ukurasa mpya Wa neema Kwa wenyeviti wote Wa SM watakuwa...
  10. K

    Hasira za nini Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete?

    Hata wewe ni mjinga pia, haustahili kuandika huu umavi licha ya utumbo uliomsemea mwenzio! kumbuka sheria ni msumeno, hakuna mtu aliye juu ya sheria! kama sheria ya uchaguzi inarruhusu watu wakae umbali Fulani kutoka kituo cha kupigia kura, iweje watu walioamua kwa hiyari yao tena kisheria...
  11. K

    Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa, Musoma mjini - Oktoba 11, 2015

    huna lolote 'Nje ya Mada', urais ni taasisi, tuna imani Lowasa hawezi kurudia pale alipojikwaa! wewe kama humtaki kaa pembeni. pipooooooz!
  12. K

    TCRA mpo? Naomba ufafanuzi kuhusu kipande kilichorushwa na Star Tv mara tu baada ya habari

    Binafsi nilishaacha kitambo kuangalia TBC, star TV na channel ten ziko bias mno! Star TV imeshachukiwa muda mrefu kilichobaki ni matangazo ya magufuli na matusi ya Lusinde na Nyerere.
  13. K

    TBC 1 kuonyesha makala za Wizara ya Ujenzi, sio kumnadi Magufuli?

    Fursa sawa haipo ndugu yangu, TBC inaboa na haifanani kuitwa taasisi ya umma! Haitendi haki na haina usawa! Nina hakika likitokea la kutokea hawataachwa na Bi Fatou Bensauda!
  14. K

    TBC 1 kuonyesha makala za Wizara ya Ujenzi, sio kumnadi Magufuli?

    Wandugu hivi ni halali taasisi ya serikali inayoendeshwa Kwa kodi zetu, kuegemea upande mmoja Wa kisiasa? tangu kampeni zilipoanza, TBC imekuwa mpambe Wa Ccm na mgombea wake Magufuli. Je wanaweza kutuambia manufaa au kiasi gani cha fedha kilichopatikana kutokana na matangazo ya live ya kumnadi...
  15. K

    Kingunge, Lissu na Lema kushusha gharika Kigoma na Tabora

    hahahaaa! kura yangu, mama, na wadogo zangu ambao walikuwa wapenzi Wa magufuli nimewashawishi wamekubali tarehe 25 kwenda kumpa kura Lowasa!!!!
Back
Top Bottom