Tigo na ujumbe wa kumnadi Magufuli, ni sawa?

KILIMANI HEWA

Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
32
Reaction score
16
Siku za hivi karibuni, kampuni ya mawasiliano ya Tigo, imekuja na mbinu mpya ya kumnadi Magufuli kwa kusambaza sms kwenye simu za wateja wake.

Tangu lini kampuni hii imegeuka genge la kampeni za chama Tawala?

Ni sawa kusambaza sms hizo kwa wateja wake ambao wana itikadi tofauti za kisiasa?

Kwa hili Tigo mnaboa.
 
Kama kalipia ni sawa si ni kipindi cha kampeni kila mtu ana staili yake. Kwani wale wanaojinadi kwenye TV si sawa tu kama hutaki unahama channel. Na hiyo sms ukiipata kama hupendi una e delete. ni sawa tu.
 
Kuhama haitakuwa fair maana hayo ni matangazo labda tukiambiwa kuwa na sisi ukawa tulitaka kulipia tangazo letu tumekataliwa hapo sawa nitahama.
 
Hahahaha mmeona kale Ka hotuba anachotoaga magufuli ITV kama anasoma mahali hivi hahahahahaha utasema kashikiwa panga shingoni...anjaribu kulegeza saut kimahaba lakin wapiiiii
 
Hahaha 😂😂😂😂😂😂
 
Siku za hivi karibuni, kampuni ya mawasiliano ya Tigo, imekuja na mbinu mpya ya kumnadi Magufuli kwa kusambaza sms kwenye simu za wateja wake.

Tangu lini kampuni hii imegeuka genge la kampeni za chama Tawala?

Ni sawa kusambaza sms hizo kwa wateja wake ambao wana itikadi tofauti za kisiasa?

Kwa hili Tigo mnaboa.

Hiyo sms inasemaje mkuu?
 
Ni biashara tu, hata ww ungeletewa dili la 500M hata usingekuja hapa kungwanjagaluka
 
Hiyo sms inasemaje mkuu?

Ndugu zangu Watanzania, leo ni siku muhimu kwetu, tutumie siku hii kutafakari namna tunaziishi fikra za Mwl. Nyerere, yeye alipinga Rushwa na Ufisadi na alikataa mali na utajiri kuwa sifa ya uongozi. Tuziishi fikra hizi kwa vitendo na Mungu awabariki. Dkt. John Pombe Magufuli.

Nakusalimu, naitwa MAGUFULI nagombea Urais kupitia CCM. Niko Lindi leo 12/10/2015 Naomba Kura yako nikutumikie kwa Nafasi ya Urais. Mungu akubariki.
 
jmn hao tgo vp mbna me hawajantumia hy sms ya rais wangu mtarajiwa JPM
 
Tatizo mna wivu wa kitoto! mbona TV zenu zikionesha habari za CCM hamzivunji?
 
Kama kalipia ni sawa si ni kipindi cha kampeni kila mtu ana staili yake. Kwani wale wanaojinadi kwenye TV si sawa tu kama hutaki unahama channel. Na hiyo sms ukiipata kama hupendi una e delete. ni sawa tu.

Sasa meseji imeingia kwenye cm yako unahamaje channel wakati umelazimishwa kuisoma? Mikutano ya hadhara unaenda ukipenda, tv unaweza Zima au ukabadili channel, cm meseji ikiingia hujui imetoka wapi unaangalia unakutana na makufuli - inaweza kukuharibia cku.
 
Back
Top Bottom