Katiba ya tanzania siyo sura ya muungano tu..!kuna vitu kibao vya kupitisha kwa vizazi vijavyo so 1+1= itabaki 2 milele...kajadilini sura ya muungano hukoooooo
Jamani kwani katiba ni sura ya muungano tu..hamna kitu kingine?? Me najua 1+1=2 sasa iweje leo ziwe 3...hatimaye siasa za kinafiki zimeshindwa na leo upinzani mkaichunguze vizuri CUFsiyo kuungana gafla gafla na vyama msivyovijua vinataka nini nchii....KATIBA YA TANZANIA SIYO SURA YA...
Nyie danganyikeni ila mafuriko ya safari hii mtahama hicho chama...Dk slaa alienda msata akasema aiwezekani nchi iwe kama ya kifalme baba rais mtoto mbunge...wananchi wakamjibu inahuu.........!!!
Mzimu wa zitto kabwe bado unaitafuna chadema..alisema pesa zinazopatikana kutokana na ruzuku ziende kwenye chama ngazi ya kata kuhimarisha chama mkamuona ni ndondocha..mmenda kalenga na choppa na kelele kibao kule akuna mtu anaijui chadema..sasa mmebaki kula 10% za choppa na akuna mnachoaambulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.