Habari ndugu zangu,
Mwenzenu nina changamoto moja; Nina login vizuri tu kwenye Computer, lakini kwenye Simu na iPad Password inakataa. Nimejaribu kureset lakini sipati Email ya JamiiForums kwenye Email yangu (ile ambayo huwa ni link ya kureset Password). Nimewaandikia mara 2 sasa lakini kmya...
Mapenzi sio ngono tu. Saikolojia ya Mwanamke ni kwamba mapenzi ni urafiki, ujamaa na undugu...swala la ngono ni ziada hasa kwa misheni maalumu za kurefresh mwili, kupata mtoto au kuwekana karibu zaidi kama wapenzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.