Recent content by Kilawakati

  1. Kilawakati

    JamiiForums Tanzania Hivi ukiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo utafanya nini kwa Taifa lako?

    Bangi banaaa by Motika Record
  2. Kilawakati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumtuliza Mwanamke wako akiwa amekasirika

    Mchawi Pesa hizo nyingne story
  3. Kilawakati

    JamiiForums Tanzania Niko 20's na akiba ya milioni 50, wewe je?

    Kasema Mwenyewe Anatafuta Kaz ya kuzibuliwa Mtaro hapoo Kuna tatizo.
  4. Kilawakati

    JamiiForums Tanzania Mwizi auawa akijaribu kuiba Kanisani Mbezi Malamba mawili

    .. .Unataka kujua Walijuaje kuwa ni Mwiziii????? .. . Iyo formula kama unataka kuijua Jaribu siku Moja kijipendekeza kwenye Mali za watu ujichanganye tairi linakuhusu kaaa Mbali na Mali za watu. Na Kanuni Namba Moja ya kumjua Mwizi ni Tamaaa.
  5. Kilawakati

    JamiiForums Tanzania Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

    Live Kuna siku nimepanda Mwendokasi nilikuwa na Kibegi cheusi Mgongoni na Pesa niliweka kwenye Wallet Ile kuingia Tu ndani ya Bus begi limefunguliwa na kusachiwa, kuangalia Sura zilizopo nyuma Yangu huwezi dhania hata mmoja wote ni wale vijana smart body ya Kishua watoto wa Posta ila waliambulia...
  6. Kilawakati

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Kalynda E-commerce

    Imeisha Hiyooooo,, Cha Bure Salamu hapa Town ***Mjini AKILI NGUVU peleka kijijini. Anayefataaa......
  7. Kilawakati

    JamiiForums Tanzania Unyama huu wanaoufanya Polisi utamgharimu Rais Samia

    Polisi Wanafanya Kazi Nzuri Sanaaàaaaaaaaaaaaaaaaa.
  8. Kilawakati

    JamiiForums Tanzania Kuuliza bei kabla ya kuhudumiwa ni ishara ya Umasikini?

    Wabongo yaani hapo unajiona Mjanja wakati wadau wamecheza na Akili yako eti kunyoa na hicho kikahawa 50,000/= Nimekaaa Katikati ya Jiji pale Posta Barber shop nying pale ni 10000,, Umeingizwa Mjini ulishobokea Mademu Acha Ushamba. Hii ndiyo Bongo DSM. ..Yaani hapo 40,000/= Kodi ya shobo.
  9. Kilawakati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usitafute pesa kwasababu ya mwanamke, iwe kwaajili maisha yako. Kilichomkuta huyu jamaa ni fundisho tosha!

    Mjuba Kapigwa Tukioo Noma Sanaa.
  10. Kilawakati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitasahau Siku nimemnunua X wangu kama Pisi kali

    Majani+Sukari+Maji Ya Motoooo
  11. Kilawakati

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutengwa na rafiki yako wa karibu baada ya yeye kufanikiwa? Toa kisa chako ilikuwaje

    Tafuta Hela hakuna Urafiki wa Kudumu kati ya Maskini na. Don
  12. Kilawakati

    JamiiForums Tanzania Mabenki ya kitanzania, madirisha 5 ya kutoa huduma, Wahudumu Wawili tu, mmoja yupo muda wote mwengine anaingia na kutoka muda wote

    We mwenyewe ni Tatizo inakujae Ada unalipa Hadi ikikaribia Mitihani, Alafu lawama unawaletea binadamu wenzako. Tafuta Hela uache kulalamika.
  13. Kilawakati

    JamiiForums Tanzania Ninaishi kwangu (nimejenga) ila sina furaha

    Urimbooo
  14. Kilawakati

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ukahaba imekithiri Sinza na kusababisha wakazi kuhama nyumba zao

    Jichanganye etiii atatulia ni Mwendo wa jet, ulishawahi kuona kimondo kinavyokatiza usikuu yaani ni Shaaaaa kimepita,,, imeisha iyooo Nina mifano kama miwili ya haoo people ni noma sana.
Back
Top Bottom